Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's crystal clear that you don't know a thing or two about club sponsorship in world football. Naona hata Emirates pia waliomba msaada kutka kwa arsenal
hahahha yani ulivo huna akili ukitaka kusema sport pesa ni team ya kenya asilimia 100😀😀😀 maana umeshipalia sana ndugu team za tanzania zina wadhamini wakutosha tena wenye pesa na hzo team revenue yake ni kubwa kusanya team zote za kenya hamunusi hata harufu😛😛😛😛😛
 
Hawa watu wanaxhekesha sana...eti simba inadhaminiwa na matajiri wakati ile deal yao na sportpesa ya Ksh 225 million is the highest amount wamewahi pata in terms of sponsorship tangu izunduliwe. Looks like hawa "matajiri" walikuwa wanaipatia milioni moja heheeh
So baada ya sportpesa kudhamini simba,umesikia simba ikifanya nini na hizo pesa,jua umesema ni nyingi kwao!!!
 
mo dewji ndio amenunua 49% of simba😀😀😀

mo dewji ndio tajiri mkubwa east africa mwenye worth of 1.4b usd😛😛😛😛😛

azam fc inamilikiwa na gwiji na tajiri mkubwa sana tanzania na africa mashariki na kati bakhresa

yanga ilikua imedhaniniwa na tajiri mkubwa sana tanzania manji😀😀😀😀

mtibwa sugar fc inadhaminiwa na kampuni ya mtibwa sugar pamoja na kampuni ya michelin😀😀

niendelee au😛😛😛😛😛
MO DEWJI AJIONDOA SIMBA KISA SPORTPESA – Yetu Media
 
Reginard mengi
achana nae huyo kilaza ndio maana leo hashangai mtu mmoja kumiliki ardhi ya kuweka watu million 20😀😀😀😀😀 kwao ni kitu cha kawaida sana
C1B097DB-EFF0-4514-9F51-D1B1077C9607.jpeg
 
mo dewji ndio amenunua 49% of simba😀😀😀

mo dewji ndio tajiri mkubwa east africa mwenye worth of 1.4b usd😛😛😛😛😛

azam fc inamilikiwa na gwiji na tajiri mkubwa sana tanzania na africa mashariki na kati bakhresa

yanga ilikua imedhaniniwa na tajiri mkubwa sana tanzania manji😀😀😀😀

mtibwa sugar fc inadhaminiwa na kampuni ya mtibwa sugar pamoja na kampuni ya michelin😀😀

niendelee au😛😛😛😛😛
najua hayo yote lakini ni kama yule mwajiri wako muindi yani nyinyi waafrika weusi hamna kitu.
 
Hawa watu wanaxhekesha sana...eti simba inadhaminiwa na matajiri wakati ile deal yao na sportpesa ya Ksh 225 million is the highest amount wamewahi pata in terms of sponsorship tangu izunduliwe. Looks like hawa "matajiri" walikuwa wanaipatia milioni moja heheeh
tena ile ya madafu
 
umesoma maelezo ukayaelewa vzr😀😀😀
au ni kawaida yako kupupuruka tu kutuma link

sport pesa yenu au sio😀😀😀😀😀😀
48% kenya 52 watu wa nje ya kwenu pia
Nimempita tu mkuu,hajaelewa huyo.
 
Ok,should be any team else.

Hiyo ndio inaitwa matangazo ya biashara,unalipa ili ujitangaze.

Ukiambiwa huyu ni kama tu NMB ktk mabasi ya UDART unaelewa.
huyo haelewi neno matangazo ya kibiashaa hata NMB wanawalipa azam fc kwa kutangaziwa jina
😀😀😀😀😀😀😀😀
150E3342-5CE1-4734-B7F0-9F8A2AC5B55A.jpeg
 
Back
Top Bottom