kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
povu...hahahaha. i like it.hahaha Jizee linaguruma na hasira....iyo yako ni kichaka....semi arid kama samburu

povu...hahahaha. i like it.hahaha Jizee linaguruma na hasira....iyo yako ni kichaka....semi arid kama samburu

tayari hasira zimeshawapanda.natumai mambo ni kuunguza,,,soon watakuja

Haha unafaa kujua most Kenyans wanamiliki mashamba isipokuwa ndani ya Nairobi...but metro towns za Nairobi like rongai,Ngong,kikuyu,thika,athi river na Kitengela watu wanaishi mkwao..sehemu zingine zote Kenya watu wako na makwao.povu...hahahaha. i like it.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hii takataka ambia wanaijeria kule nairaland, sio mimi mtzHaha unafaa kujua most Kenyans wanamiliki mashamba isipokuwa ndani ya Nairobi...but metro towns za Nairobi like rongai,Ngong,kikuyu,thika,athi river na Kitengela watu wanaishi mkwao..sehemu zingine zote Kenya watu wako na makwao.

Ataridhi pia...according to him, it's a family farm not his.![]()
![]()
![]()
Tumia road ya narok,bomet,kisii,homabay hadi migori ukielekea mwanza uone wakenya wakiishi kwa mashamba zao..pia tumia northern corridor hadi bungoma...hii upuzi ya kusema wajenya hawana mashamba achenihii takataka ambia wanaijeria kule nairaland, sio mimi mtz![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwetu pia wajukuu wote 15 tuliridhi 50acres kila mmoja ya chai
hii takataka ambia wanaijeria kule nairaland, sio mimi mtz![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
labda kwa ndotoni.Tumia road ya narok,bomet,kisii,homabay hadi migori ukielekea mwanza uone wakenya wakiishi kwa mashamba zao..pia tumia northern corridor hadi bungoma...hii upuzi ya kusema wajenya hawana mashamba acheni

6.43b
waaah sikuwa najua iyo
Sasa sponsor atakuwaje tena mmiliki wa klabu? kwani Arsenal inamilikiwa na Fly Emirates? Au Man utd inamilikiwa na Chevrolet? sponsors are just sponsors and that's it. That's why you will see teams changing sponsors every now and then. Kweli we are just arguing with zuzus
AFC KANDO!! SASA BARABARA YETU NI NYWEE HADI FINALLY.... LAKINI AFC IMEPOTEZA CHANCE MINGI... BIG UP SINGIDA...
na wasipokuwa makini, watafungwa na singida united.Singida wanakutana na babayao Gor
yes ofcos, his father was also a former goalkeeper for tanzania national team and other clubs in tanzania and outside the country.Manyika MAN OF THE MATCH
GOR iko dunia ingine... Ball yao iko juu sana nikama USEMWE Real Madrid vs Liverpoolna wasipokuwa makini, watafungwa na singida united.
kumbuka mpira sio porojo za mashabiki jukwaani au kwenye social media, mpira ni dakika 90 dimbani.