Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HAUKO SERIOUS
a04f7262433b48a697edd3783abcf74e--jomo-kenyatta-nairobi.jpg
Huwez compare JNIA T3 na godown
 
NINI IMECHANGE FROM AUGUST 2O17
Achana na hizi story kwanza, habari ya mjini niniwamba Kenya imepata barabara za BRT, kwa kutumia njia ya kuchora, sio kujenga kama nchi zingine zinavyofanya, hii habari ndiyo inayo trend kwa sasa duniani, CNN, BBC, Aljazeera zote zinarusha Live kutoka Kibera
 
Yaniii....., maji ya jumvi imalizi kiu...uko dar....
Sasa huyo mwenzako amesema ni tastless, wewe unasema yana chumvi, mbona mnatapatapa?. Source ya maji ya Dar ni river Ruvu sio underground, na huo mto Ruvu hutegemea mvua, kwahiyo maji ya Dar ni sawa na bottled mineral water, njoo uje upumzike Dar, Nairobi hata maji ya kunawa uso asubuhi ni shida.
 
Naona leo mnawapa darasa kuhusu maji, wanatapa tapa mara tasteless mara chumvi!! maji safi na salama
 
Hapana walienda kujifunza South America, walisema ya Dar ina mapungufu mengi, South America waliwauliza wana pesa kiasi gani ili wawachagulie design inayoendana na pesa yao, wakasema wana madeni kuliko nchi zote za Africa, ikabidi wawachagulie hiyo ya kupaka rangi barabara.
ha haaa kabisa ...wakenya oyeeee
 
Back
Top Bottom