Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila hii kitu kimenichekesha sana View attachment 735435

afu pengine ushauri waliouomba kwetu ilikuwa ni mbinu yetu ya kuwaacha pabaya ili wasitufikia kwenye BRT


hii kitu sitokisahau
View attachment 735436
Hapana walienda kujifunza South America, walisema ya Dar ina mapungufu mengi, South America waliwauliza wana pesa kiasi gani ili wawachagulie design inayoendana na pesa yao, wakasema wana madeni kuliko nchi zote za Africa, ikabidi wawachagulie hiyo ya kupaka rangi barabara.
 
Na uhakika hii brt ya kenya imetumia pesa nyingi kuliko ya Tanzania
tapatalk_1490127160708.jpeg
tapatalk_1522942574128.jpeg
 
wakat wenzetu wakihangaika na maji jijini hali halisi ya dar hii hapa
B72309CE-E602-4765-87C6-9175535B5292.jpeg
 
Back
Top Bottom