Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Point yangu ni kwamba pengine hamna waandisi waliobobea
Ninyi huwa mnatapatapa sana, tukiwafukuza na kuwakatalia kuja kufanya kazimTanzania, mnasema watanzania hawataki muungano wa EAC, tukiwapa kazi mnasema hatuna watu waliobobea, ninyi nchi yenu onaporomoka kwa kasi ya ajabu, kilichobaki ni kupiga kelele tu
 
Kwanini msiweke bendera ya Kenya mnaweka ya tz ,au ndio mambo ya failed state
Mnachekesha kweli. Hii nguvu yote mnatumia kufatilia maswala ya Kenya mngetumia kujikwamua kutoka ldc
 
Ninyi huwa mnatapatapa sana, tukiwafukuza na kuwakatalia kuja kufanya kazimTanzania, mnasema watanzania hawataki muungano wa EAC, tukiwapa kazi mnasema hatuna watu waliobobea, ninyi nchi yenu onaporomoka kwa kasi ya ajabu, kilichobaki ni kupiga kelele tu
Kazi gani mnatupatia ama ni professionals ndo hamna! mbaazi ikikosa matunda husingizia jua
 
Mliman city Mall,rooftop,entrance,conference centre,indoor..
Screenshot_2018-04-04-23-10-23-1.jpg
2fdeec0c9b796ea06da2cdca68491722.jpg
1b8b49fda0da89e9d27a0bccea202845.jpg
mlimani.jpg
Mlimani_City%2C_Mr._Price_og_Marrybrown.jpg
 
The most important thing ni kwamba message umeipata
hata mimi ile yangu kuhusu wewe kula githeri mida ya usiku uliipata kisawa sawa.

ila acha kujamba hadharani cos najua moja madhara ya kula githeri ni tumbo kujaa gas.
 
Wewe endelea kuabudu mungu wako diamond na kula karanga zake
 
Kazi gani mnatupatia ama ni professionals ndo hamna! mbaazi ikikosa matunda husingizia jua
Kwani tulipoweka working permit kuwa $2000 mkapiga kelele tuliwalenga nani?, tulipowafukuza walimu toka Kenya hawakuwa professionals, tuliposema watu wote wasio na working permit warudi makwao mkalia sana kwamba tunatarget Kenyans umesahau?. Mna professionals gani ninyi kila siku majumba yanaanguka na kuua watu kila siku huko kwenu, lini umesikia nyumba Tanzania imeanguka?, we have many and best engineers in EA.
 
Ninyi huwa mnatapatapa sana, tukiwafukuza na kuwakatalia kuja kufanya kazimTanzania, mnasema watanzania hawataki muungano wa EAC, tukiwapa kazi mnasema hatuna watu waliobobea, ninyi nchi yenu onaporomoka kwa kasi ya ajabu, kilichobaki ni kupiga kelele tu
Msijali Kaka jipeni moyo miaka zingine 10 hivi mtajipata tulipokuwa in the late 90s.
 
Kwani tulipoweka working permit kuwa $2000 mkapiga kelele tuliwalenga nani?, tulipowafukuza walimu toka Kenya hawakuwa professionals, tuliposema watu wote wasio na working permit warudi makwao mkalia sana kwamba tunatarget Kenyans umesahau?. Mna professionals gani ninyi kila siku majumba yanaanguka na kuua watu kila siku huko kwenu, lini umesikia nyumba Tanzania imeanguka?, we have many and best engineers in EA.
Nyumba Tz haziwezi anguka...92% slum inaanguka kivipi?? labda iwe ni albino anachomolewa kwa nyumba.
 
Back
Top Bottom