Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa huyo mwenzako amesema ni tastless, wewe unasema yana chumvi, mbona mnatapatapa?. Source ya maji ya Dar ni river Ruvu sio underground, na huo mto Ruvu hutegemea mvua, kwahiyo maji ya Dar ni sawa na bottled mineral water, njoo uje upumzike Dar, Nairobi hata maji ya kunawa uso asubuhi ni shida.
kabisa kwanza hawajielew wote wanajichanganya mala huyu chumvi mwinginw testless wakenya bwana kweli ni zeroo tester
 
kama walivofeli kwenye SGR😀😀😀😀
mchina kawachakaza ipasavyo wao kazi yao ni kupoteza pesa za tax payers

mchina kawajengea stations nzuri alaf reli na train zimetoka meseum of beijing 😀😀😀😀
mombasa to nai 422km kawachakaza 4b usd

Wakenya nimegundua wanapenda sana shortcut. Na shortcut mara nyingi zinaponza.
 
wakenya leo nimecheka sana😀😀😀
9EAE26C5-CB4A-45E0-8649-ECDCDD7339FA.jpeg
 
Hii story ya brt naona imewaumiza roho sana...brt was the only thing Dar had over nrb


nothing beats a brt on a 12 lane superhighway. ......Tanzanians wanaskia kulia coz we shall steal the only thing they have....lol.Mcheke mlie 600 brt s by December. ......mtajua hamjui
 
nothing beats a brt on a 12 lane superhighway. ......Tanzanians wanaskia kulia coz we shall steal the only thing they have....lol.Mcheke mlie 600 brt s by December. ......mtajua hamjui
Shida sio highway yenu ya thika, once dar chalinze highway completed sijui mtaweka wap sura izo...na ingine from nyerere bridge itaunga na chalinze highway 40km +100km equals to 140km nadhan hii hujawah ata kuota
 
Back
Top Bottom