El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
always planning. ..lol.....na tushaanza 600 km expressway from mombasa to Nairobi. ......once completed utaskia pia Tanzania is dreaming of building an expressway. ...lol.
alaf wanakwambie wame develop ushuzi mtupu
View attachment 735495
Hahahaaaaa......keep on chasing wind
Huwez compare JNIA T3 na godown
sisi tuna two part....nyie vijibanda vyenu vipo sehemu moja ikikanilika hiyo ndani ya huu mwaka ....mtakuwa mnakufa mdogo mdogo
tuoneshe hio 12lanes labda 12lanes have lost its meaningnothing beats a brt on a 12 lane superhighway. ......Tanzanians wanaskia kulia coz we shall steal the only thing they have....lol.Mcheke mlie 600 brt s by December. ......mtajua hamjui
HiyoHebu leteni picha tuzione
naomba utuoneshe 12 lanes naisubiria hapa😀😀always planning. ..lol.....na tushaanza 600 km expressway from mombasa to Nairobi. ......once completed utaskia pia Tanzania is dreaming of building an expressway. ...lol.
uhahahaha rudia????😀😀😀😀thanks for watching citizen tv....the largest tv station in Eastern and central Africa
picha zishaletwa........yaani termina 1 na 2 zipo upande tofauti kabisa na hiyo terminal 3 kiasi cha kwamba ukitaka kupata muonekano wa pamoja lazima picha upige kwa mbaali sana ukiwa juu......Hebu leteni picha tuzione
Kweli mmetuzidi nyumba za maana. Zile dream houses nyumba za gable zenye mabati zilizorust na kutapakaa kila mahali bila mpangilioTumewazidi nyumba Za maana ,hotels mlikaa ,kitu mmeweza ni thika highway naona sasa mmeanza ibadili matumizi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
tuoneshe hio 12lanes labda 12lanes have lost its meaning
Ilikuwa hapo mbeleni ila kwa sasa ni mall of africa, afrika kusini
kutoka terminal 1 kwenda ViP terminal lazma uende na gari na kutoka VIP kwenda terminal 2 lazma uende na gari na kutoka terminal 2 kwenda 3 ndio mbali zaidipicha zishaletwa........yaani termina 1 na 2 zipo upande tofauti kabisa na hiyo terminal 3 kiasi cha kwamba ukitaka kupata muonekano wa pamoja lazima picha upige kwa mbaali sana ukiwa juu......
tofauti na hiyo yenu zimebandana sehemu moja kwa mchoro wa zero
Phase 1 ukiisha plan ni kufika Dodoma. ..450kmalways planning. ..lol.....na tushaanza 600 km expressway from mombasa to Nairobi. ......once completed utaskia pia Tanzania is dreaming of building an expressway. ...lol.
uhahahaha rudia????😀😀😀😀
na azam tv kiboko ya wanaume unaeka wapi
au umeisahau ndio ilimfukuza wanjala humu ndani
Acha umbealol......wametuzidi nyumba za matope maybe......if you travel across Tanzania hizo ndio 90% za makao
leta pic ya 12 lanes labda hujui maana ya 12 lanes unatuona wote humu mafala sana😀😀😀😀weka aerial view you count