hio sehemu hatakiwi kuonekana mgeni wa aina yoyote sasa wakenya tunawapa tahadhari mkisogea hapo tu chuma nje nje😀😀
pesa ya kujenga ukuta watoe wapi??? wakati serekali haina pesa😀😀😀😀Walisema wanajenga ukuta wa somalia. Lakini mpaka sasa wamejenga senyenge
I said +mloganzila
Kaliimwanza jengo tamu sana
View attachment 733282
Sasa kama wanajiweza kwann wasipate kazi? ?tunajigamba si pesa tulitoa su ulifikiri walishindwa kuichorea ijengwe Kenya kama mlikua na helaKumbe hata ni sisi ndio huwachorea majumba yenu? Hata ile TPA mnagamba nayo hapo ilichorwa Nairobi!
Picha ya kwanza miaka karibu 8 iliopita lakin bado mombasa haijafika apo...shame on youKuliamsha dude na slum city Dar.
Aeriel view
![]()
Street view
![]()
Wenzako waliuliza kama Dar kuna malls...sasa umekurupuka uko ulipokua unatema udenda bila sababu...Sasa leo mnataka kulinganisha Dar na Nairobi kwa sector ya malls. Just in case danganyikans didn't know, Nairobi has the most developed and biggest shopping mall market in sub-saharan Africa outside south Africa. you should learn to accept certain things. Sio kila kitu mnafaa kuleta ubishi
bila ya kuliamsha dude😀😀Kuliamsha dude na slum city Dar.
Aeriel view
![]()
Street view
![]()
Picha ya kwanza miaka karibu 8 iliopita lakin bado mombasa haijafika apo...shame on you
No doubt bugando is the sec biggest hosp in Tz with more than 900beds capacity. ..comes sec after muhimbili national hospital with bed capacity now 1900+ mloganzila ....
Kcmc takes 3rd position with 600beds capacity ....