Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pleas check developed countries like U.S,Japan,German.... Their dept ratio is over 100% of their economy... Fools will always be fooled.

Go check then come we discuss.
Heheh yani akili mbovu mlionayo nyinyi ni kujiringanisha na us, geramny or japan ndugu those are developed countries and kenya is developing country tofautisha deleloping and developed usiwe mjinga kufikia hatua hio
 
Hawa hata habari ndio hawana kwamba hizi nchi zimeendelea pia ziko na madeni tena mingi kushinda zetu. They are trying everything to justify their points but it's just falling back on their faces
Yani wewe unajiringanisha na developed country kweli unaakili sawasawa yani sijui wakenya munaakili gani umekaa kabisa unajifananisha deni lako na us au germany do u think hao ni wenzako wakat kila siku wanakupeni msaada kwenye budget yenu 😀😀😀😀

Aliweroga nyie amekufa
 
Yani mtu mzima mwenye makende mawili amekaa kabisa anafananisha deni la usa au germany na kenya???? Serious😀😀😀

Nchi zinazo control uchumi wa ulimwengu mtu amekaa kujifananisha nao hahahha eti mbona japan ana deni hahhhahah

Ama kweli asie na hili ana lile😛😛😛
 
western bypass loading....construction ongoing
Cj7-CKQWYAAoGRa.jpeg
ymGKpGOh.jpeg
ViYQBlOh.jpeg
X6vnArx.jpeg
pDwOzhB.jpeg
vRHUbPt.jpeg
pD1YsRl.jpeg
clrWWIT.jpeg
6c7JoZk.jpeg
 
Yani mtu mzima mwenye makende mawili amekaa kabisa anafananisha deni la usa au germany na kenya???? Serious😀😀😀

Nchi zinazo control uchumi wa ulimwengu mtu amekaa kujifananisha nao hahahha eti mbona japan ana deni hahhhahah

Ama kweli asie na hili ana lile😛😛😛
Ujinga na inferiority ndio mnayo kwa wingi.. Singapore,China,S.Korea, Taiwan walikua maskini kiwango moja nasisi but walijituma hadi walipo sahivi..

I was not comparing the developed countries to kenya in terms of development. I was comparing interms of dept ratio. My point is deni simbaya as long as you can payback, also note all our borrowing goes direct to projects and not recurrent expenditure.

Kenya mybe corrupt and Tribal but one thing we believe in ourselves..
 
Hizi ndo nyumba za watanzania zenye hayo mabati mnayoona kwa google earth. Ni utamaduni wetu na fahari kwetu watanzania kujenga nyumba zetu wenyewe kuliko kukaa kwenye kotaz mnazoita apartments. Nyumba zetu ni product ya creativity yetu.
By the way watanzania hatupendi kujitenga kimatabaka so hata manzese hizo nyumba zipo. View attachment 713906View attachment 713907View attachment 713908View attachment 713919View attachment 713920View attachment 713921View attachment 713923View attachment 713924View attachment 713925
Ndugu yangu, kutuletea picha za nyumba moja moja won't help here. Mwenzako kadodah alizileta huku hadi akachoka. What we want are aerial photos of where these houses are found, sio picha za nyumba moja moja unavofanya hapa. Naona uko very selective kwa picha unazoleta. Tunataka picha za angani. kazi kwako
 
Itakuwaje bora wakati mpangilio haupo? Itakuwaje bora wakati barabara hazipo? Ndugu, muwe tu wangwana na wakweli na mkubali kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi hata robo kwa upande wa makazi na planning ya estates. Hizo apartments mnaita domitories are way better than those crammed shacks with corrugated iron sheets you call dream houses here.

Tunajua Dar mnamiliki "dream houses" with hot jacxuzis as seen un Google earth images. my brother, Google eart never lies. Unaeza nidanganya hapa jf lakini Google earth haiwezi

Inabidi uelewe kuwa picha za Google zinapigwa kutoka juu sana approx. at right angle. Kwa hiyo unahitaji upana fulani hivi kuweza kuona nafasi kati ya nyumba na barababra. kama nyumba zimekaribiana picha itaonekana kama nyumba zimerundikana bila mpango. Hata kariakoo miaka ya themanini ilikuwa hivyo, ikipigwa picha kwa juu inaonekana mrundikano wa nyumba za kiswahili lakini sasa baada ya kujengwa magorofa utaona inavyopendeza kwasababau ya utofauti wa urefu wa magorofa.

Moja ya maendeleo Nairobi imeshindia Dar ni kwamba iko na estates bora na zilizopangwa vizuri kuliko Dar. Pili, nairobi iko na barabara bora tena pana kuliko Dar ambayo ni juzi tu ndo mmeanza kujenga barabara. Naeza endelea zaidi ya hapo

Watanzania hawapendi kukaa kwenye matundu ya njiwa.

When you want to pick out a poorly written and biased article, first look at grammar and sentence structure. There are lots of grammatical errors throughout the article which puts its reputation into serious questions. This is a blog from a person who has personal hatred for kenya. Umejaribu lakini, congratulations. Hebu leta screenshot of the same showing the name of the website please

...it's reputation in question.
 
Ndugu yangu, kutuletea picha za nyumba moja moja won't help here. Mwenzako kadodah alizileta huku hadi akachoka. What we want are aerial photos of where these houses are found, sio picha za nyumba moja moja unavofanya hapa. Naona uko very selective kwa picha unazoleta. Tunataka picha za angani. kazi kwako
So argument zenu sio ubora wa nyumba tena ila ni mpangilio wa nyumba. Basi sawa.
 
Inabidi uelewe kuwa picha za Google zinapigwa kutoka juu sana approx. at right angle. Kwa hiyo unahitaji upana fulani hivi kuweza kuona nafasi kati ya nyumba na barababra. kama nyumba zimekaribiana picha itaonekana kama nyumba zimerundikana bila mpango. Hata kariakoo miaka ya themanini ilikuwa hivyo, ikipigwa picha kwa juu inaonekana mrundikano wa nyumba za kiswahili lakini sasa baada ya kujengwa magorofa utaona inavyopendeza kwasababau ya utofauti wa urefu wa magorofa.

Watanzania hawapendi kukaa kwenye matundu ya njiwa.

...it's reputation in question.
The good thing with technology is that it gives you a lot of optins to choose from just the same way Google earth does. In as much as Google images zinapigwa picha kwa juu, if I want to see more detailed information, I can always zoom as much as I want to view images kwa karibu so your argument doesn't hold any water.Mahali kuna barabara utaona tu na mahali kuna mpangilio wa nyumba pia utaona tu. Isitoshe, utaona pia the type of houses found in a particular place.

Halafu asante for the correction. We aren't perfect, are we?
 
Back
Top Bottom