Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So argument zenu sio ubora wa nyumba tena ila ni mpangilio wa nyumba. Basi sawa.
Hizo nyumba zinaweza kuwa bora in Tanzanian standards sikatai ila ukweli ni kwamba hizo picha zimechukuliwa in specific places za dar to make us believe that most houses in Dar look that way which is a total lie. With this era of technology huwexi danganya mtu,a simple search on google maps is all I need to find out the truth. most houses in Dar ni zile za gable halafu mabati zao karibu zote zimerust (which is understandable considering Dar iko karibu na bahari). Mbona inakuwa ni vigumu sana kwenu kuleta earial photos za estates za dar lakini ni rahisi sana kuleta picha moja moja za nyumba?
 
Ujinga na inferiority ndio mnayo kwa wingi.. Singapore,China,S.Korea, Taiwan walikua maskini kiwango moja nasisi but walijituma hadi walipo sahivi..

I was not comparing the developed countries to kenya in terms of development. I was comparing interms of dept ratio. My point is deni simbaya as long as you can payback, also note all our borrowing goes direct to projects and not recurrent expenditure.

Kenya mybe corrupt and Tribal but one thing we believe in ourselves..
Ndigu usiwe mpuuzi kupitiliza narudia deni la usa au germany au japan halina effect kubwa kwenye uchumi kama deni la kenya yani hio alili toa kabisa kwenye ubongo wako yani nyie bado masikini sana tena sana wale wanayo gold reserve na oil reserve ya kuilisha kenya alaf wakaivisha na kuwJengea kila mkenya nyumba kwa miaka 3000 kazi yenu ikawa ni kuhara chooni tu

We unaeza linganisha deni la japan na kenya kwenye economical effects kwnye nchi wakat kila siku hio japan inawapa misada na angalia even below povery line kenya has 46% hahhaa😀😀😀😀😀😀

Kuna mchumi wenu mmoja alisema mkamuona mpuuzi kua kenya inakopa pesa for only consumption and not development 😛😛😛

Yani toa upuuzi kichwani kabisa kenya ni nchi iko africa na ni among top 6 country with worse poverty
 
The good thing with technology is that it gives you a lot of optins to choose from just the same way Google earth does. In as much as Google images zinapigwa picha kwa juu, if I want to see more detailed information, I can always zoom as much as I want to view images kwa karibu so your argument doesn't hold any water.Mahali kuna barabara utaona tu na mahali kuna mpangilio wa nyumba pia utaona tu. Isitoshe, utaona pia the type of houses found in a particular place.

Halafu asante for the correction. We aren't perfect, are we?
Yani napokushangaa ww bado point yako imekita kua dar kuna slum ndugu yangu dar hakuna slum na hata hio google earth haiwez kukuonesha neno slum never lakin nenda nairobi itakuonesha neno slum zote zilizozunguka nairobi

Tanzania nzima hakuna sehemu utakwenda ukutane nyumba ina wall ya mabati never nyumba zote ni blocks sasa cha ajabu mpaka karne hii mjini nairobi wanaishi kwenye nyumba za matope na mabati alaf unategemea mzungu asiite worse slum, watu wanaishi maisha ya maigizo alaf unasema sio slum

Ukweli hautabadilika kua dar hakuna slum na nairobi kuna slum😀😀😀😀
 
The good thing with technology is that it gives you a lot of optins to choose from just the same way Google earth does. In as much as Google images zinapigwa picha kwa juu, if I want to see more detailed information, I can always zoom as much as I want to view images kwa karibu so your argument doesn't hold any water.Mahali kuna barabara utaona tu na mahali kuna mpangilio wa nyumba pia utaona tu. Isitoshe, utaona pia the type of houses found in a particular place.

Halafu asante for the correction. We aren't perfect, are we?

Ni kweli kuna sehemu barabara kubwa hazipo, tunacho kataa ni pale mnaposema kuwa hizo sehemu ni slums. Hilo tunakataa kwasababu nyumba nyingi hapo tandale kwa mfano ni nzuri sana tuu japokuwa zimejengwa bila mpangilio.

Hio BRT inawanyima usingizi kabisa😀😀
BRT ni nzuri sana acha utani kuanzia mabasi, vituo yaani hata miji ya dunia ya kwanza hazina, kwa hiyo si shangai jirani akinuna
 
Wakenya wametumia silaha zote walizonazo. Mwisho wa siku Dar imewachapa vibaya sana.
Tumewachapa kwenye usafi
Tumewachapa kwenye usafiri
Tumewachapa kwenye majengo mazuri
Tumewachapa kwenye Beaches
Tumewachapa kwenye culture
Tumewachapa kwenye chakula
Tumewachapa kwenye stadard of living
Tumewachapa kwenye economic inclusion
Tumewachapa kwenye entertainment
Tumewachapa kwenye Health care
Tumewachapa kwenye reasonable projects.

Everything, everything is Dar.
Hakuna mbongo mwenye matamanio ya kuja kutembelea Nai kwa lengo la kutalii but Wakenya ndio wengi. Most Tanzania prefer SA, China, UK, Dubai, USA kwa sababu wanaweza kuona mazuri.
Watanzania hawapendi uchafu so ni wachache sana almost zero wanaweza kwenda kenya kwa lengo la kula maisha maana Nairobi na Mombassa ni pachafu sana na pananuka.
Kijana mkenya NIKIPUNGA WEWE PUNGA TU.
 
...akina....diamond wanafanya nn Kenya ....kwanza hao akina harmonize wanapenda Mombasa.......ata...kuna TV channel in Mombasa we have bongolala actors...... Those actors wamejaribu c. Ombaomba
 
you are a mere Tanzanian........of course you will say Dar is the greatest village on earth.Hata wa bamako Mali watasema bamako ni bora kushinda newyork city
 
I remember a Tanzanian begging me to go back with him to Kenya and help him start a new life....he was going by the name mwandi.......I couldn't agree to accommodate a man in my house moreso a foreign stranger......hehehe

Ungekaleta afu unakadump kwa street ,huru rutu runaujinga sana.
 
Hizo nyumba zinaweza kuwa bora in Tanzanian standards sikatai ila ukweli ni kwamba hizo picha zimechukuliwa in specific places za dar to make us believe that most houses in Dar look that way which is a total lie. With this era of technology huwexi danganya mtu,a simple search on google maps is all I need to find out the truth. most houses in Dar ni zile za gable halafu mabati zao karibu zote zimerust (which is understandable considering Dar iko karibu na bahari). Mbona inakuwa ni vigumu sana kwenu kuleta earial photos za estates za dar lakini ni rahisi sana kuleta picha moja moja za nyumba?
Majority ya nyumba zipo hivo. Leta ushahidi kupinga hili. Huwez toa ushahidi kwa kutumia googlemaps. Na hivo nyumba zipo standard nzuri ambayo middleclass yeyote anaweza ishi. Nenda google andika Tanzania houses au Dar es Salaam houses then weka screenshot hapa.
 
...akina....diamond wanafanya nn Kenya ....kwanza hao akina harmonize wanapenda Mombasa.......ata...kuna TV channel in Mombasa we have bongolala actors...... Those actors wamejaribu c. Ombaomba
Diamond anatafuta pesa na sio kenya mpaka Usa huenda kutafuta pesa ndio maana anamajumba ya kifakhari zaidi ya 21 na biashara nyingi na pia katoa ajira kibao kwa watanzania kwasababu amefungua tv and radio station na pia kumbuka kua ana studio ya kisasa kabisa dar
 
Loan loan yani nchi haina pesa sasa wanapewa loan yenye masharti makali sana na yenye interest kubwa😀😀😀😀😀
B96939BE-D992-41B3-B550-43284BC296B6.jpeg
 
Majority ya nyumba zipo hivo. Leta ushahidi kupinga hili. Huwez toa ushahidi kwa kutumia googlemaps. Na hivo nyumba zipo standard nzuri ambayo middleclass yeyote anaweza ishi. Nenda google andika Tanzania houses au Dar es Salaam houses then weka screenshot hapa.
Yuko kwenye msukosuko huyo.achana naye.
 
Diamond anatafuta pesa na sio kenya mpaka Usa huenda kutafuta pesa ndio maana anamajumba ya kifakhari zaidi ya 21 na biashara nyingi na pia katoa ajira kibao kwa watanzania kwasababu amefungua tv and radio station na pia kumbuka kua ana studio ya kisasa kabisa dar
anajua Kenya doh iko.......Infact most Tanzanian musicians use Nairobi to rise to fame.....not even Dar
 
ItsDar vs Kenya.
Lol..........a fishing village vs Kenya.Yule redeemer wenu alikuwa akipost mikoa yote ya Tanzania na hatukulalamika kama mama ako leba.kalisha matako

Kwanza hata hausaidii Dar juu picha za mega slum of dar huwezi post.....PUGAA
 
Back
Top Bottom