Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo msilalamike tunapowaambie ukweli kuhusu nchi yenu, tunapoweka link kuonyesha kwamba Kenya is a failed state kwanini mnakasirika wakati huo ndiyo ukweli?, tunapowawekea link zinazoonyesha kwamba Kenya watu wanakufa kwa njaa na mnategemea Tanzania kwa chakula, mbona mnakasirika?, endeleeni kuvumilia.


I know you might be planning to come to Nairobi soon.......I understand you have to defend Dar lakini Nairobi mtakimbilia kuja tu kama kawa....hehehe.lakini msikae sana mkija
 
Kwahiyo msilalamike tunapowaambie ukweli kuhusu nchi yenu, tunapoweka link kuonyesha kwamba Kenya is a failed state kwanini mnakasirika wakati huo ndiyo ukweli?, tunapowawekea link zinazoonyesha kwamba Kenya watu wanakufa kwa njaa na mnategemea Tanzania kwa chakula, mbona mnakasirika?,
endeleeni kuvumilia.

I thought you said you don't give a shit about Kenya. Truly you can never hide from your self for long.

No kenyan has ever denied we have challenges, but you guys what us to focus on that and believe Tz is a heaven.
 
Pleas check developed countries like U.S,Japan,German.... Their dept ratio is over 100% of their economy... Fools will always be fooled.

Go check then come we discuss.
Are you japan or just a shithole country in Africa??
 
Are you japan or just a shithole country in Africa??
Stupid LDC, you think Japan was born Rich..

The biggest let down by Tanzanians is despising themselves.. Hamjiamini... Inferiority complex
Screenshot_20180313-205734.png
Screenshot_20180313-205745.png
 
My home county (Migori) borders tanzania and it ony takes 30 minutes drive kufika tanzania kutoka home kwetu so najua ninachongea. I have many friends and even relatives in tanzania as far as Mwanza na hiyo ndo information napatanga kwao.Hakuna mtanzani anamiliki ardhi anaweza sema ni yake na hata wewe unajua hiyo ndo ukweli. You lease land from your government, period
Ardhi yote ya Tanzania mmiliki mkuu ni rais ila wananchi tunamiliki kwa niaba yake na serikali ikiitaka ardhi ya mwananchi inamlipa fidia kulingana na market value ya hio ardhi. Wewe umeelewa vibaya.
Benki zote hata international zinapokea hati zetu kama dhamana na kutupa mamilioni ya pesa kama mkopo
 
Truly am doing so as retaliation. Kenyans you are known all over Africa because of your bragging behaviour, you think you know everything, you give yourselves credits by talking bad things against other countries, when that happens we remain with nor choice.
...which means there's no truth in anything you say. You are only acting out of anger.Unajua most of the time mtu akikasirika anaeza ongea chochote mradi tu aondoe hasira aliyonayo moyoni hata kama anachoongea sio ukweli. It's human nature, so I understand you bro
 
Are you just mad because no one talks about Tz..

Kuna mtanzania alikuja Nairaland and tried to promote Tz but no one gave ashit...
When ever kenya fights on social media with whichever country or site, the whole world stops and enjoy. We are hilarious,aggressive and don't take crap from anyone.

Kenyan news makes the highest traffic on Nairaland, Jamii Forum and Tweeter.. sikupenda kwetu
Please remind him about CNN...we roasted them live on social media when they dared talk bad about our beautiful land forcing their CEO to fly in just to apologize. Don't ever pick a fight with Kenyans on social media, you'll live to regret that decision. Hata wanaija walijaribu wakaona maajabu
 
Pleas check developed countries like U.S,Japan,German.... Their dept ratio is over 100% of their economy... Fools will always be fooled.

Go check then come we discuss.
Hawa hata habari ndio hawana kwamba hizi nchi zimeendelea pia ziko na madeni tena mingi kushinda zetu. They are trying everything to justify their points but it's just falling back on their faces
 
Kazi inaendelea on the ground deadly......still dreaming of overtaking Kenya
ANCkZYIh.jpeg
MsELiSwh.jpeg
CLFWIeph.jpeg
 
Hata baazi husingizia jua ikikosa kuota...
Hizi ndo nyumba za watanzania zenye hayo mabati mnayoona kwa google earth. Ni utamaduni wetu na fahari kwetu watanzania kujenga nyumba zetu wenyewe kuliko kukaa kwenye kotaz mnazoita apartments. Nyumba zetu ni product ya creativity yetu.
By the way watanzania hatupendi kujitenga kimatabaka so hata manzese hizo nyumba zipo.
b565443a3a5be77fb200126b35de6bdbecafedee.jpeg
IMG-20160721-WA0002.jpg
IMG-20160720-WA0000.jpg
defd867decc53814b6859754fdc004d2f57e4b18.jpeg
f5b3a0d5655afb5ca7cf67083e4bb3acb760aa2a.jpeg
94c74b2ec21f84016a3eb6bf861d04988f9c13cd.jpeg
d4ec27e23d3ba134266b36acec3b933f55f56f6f.jpeg
e2f8d38556c6e923b94f8d126ba398ccd0cf6ec9.jpeg
d8e0a9e21482e82cac705cb9c752888506e780da.jpeg
 
Please remind him about CNN...we roasted them live on social media when they dared talk bad about our beautiful land forcing their CEO to fly in just to apologize. Don't ever pick a fight with Kenyans on social media, you'll live to regret that decision. Hata wanaija walijaribu wakaona maajabu
Watajua hawajui, who talks about Tz btw?
 
Hizi ndo nyumba za watanzania zenye hayo mabati mnayoona kwa google earth. Ni utamaduni wetu na fahari kwetu watanzania kujenga nyumba zetu wenyewe kuliko kukaa kwenye kotaz mnazoita apartments. Nyumba zetu ni product ya creativity yetu.
By the way watanzania hatupendi kujitenga kimatabaka so hata manzese hizo nyumba zipo. View attachment 713906View attachment 713907View attachment 713908View attachment 713919View attachment 713920View attachment 713921View attachment 713923View attachment 713924View attachment 713925

Nothing exciting, hizi zime jaa mikoani huku kenya... Mbona hii hamuulizi evidence..
 
Back
Top Bottom