ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hahahha ardhi itabakia kua ndoto kwa wakenyaEndeleeni kumiliki shacks ndani ya jiji. sisi tunapangisha nairobi na runamiliki nyumba makwetu.
Hahahha ardhi itabakia kua ndoto kwa wakenyaEndeleeni kumiliki shacks ndani ya jiji. sisi tunapangisha nairobi na runamiliki nyumba makwetu.
Google earth itaendelea kukudanganya.Tunajua Dar mnamiliki "dream houses" with hot jacxuzis as seen un Google earth images. my brother, Google eart never lies. Unaeza nidanganya hapa jf lakini Google earth haiwezi
na kabla hujajibiwa wewe unafahamu vp maana ya maendeleo hebu tuanze hapo😀😀
atataja estate za middle income.Sasa wewe unatakata kujifanya mjanja kuliko google maps and google earth?Google earth itaendelea kukudanganya.
Afadhali hata utumie 3d mode ujue hali halisi.
Itakuwaje bora wakati mpangilio haupo? Itakuwaje bora wakati barabara hazipo? Ndugu, muwe tu wangwana na wakweli na mkubali kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi hata robo kwa upande wa makazi na planning ya estates. Hizo apartments mnaita domitories are way better than those crammed shacks with corrugated iron sheets you call dream houses here.Tuseme tuu ukweli, hatuna estates (dormitories) kubwa kwa middle income earners kama hizo though zipo lakini kwa uchache sana
Ila place au nyumba waishio hao wa kuitwa middle income ni bora zaidi ya hizo dormitories zenu
Wengi wa vipato hivyo huishi kwenye apartment na nyumba zao binafsi
ushaelezwa tofautisha mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartments na wakenya wengi mumekodisha hamuna ardhi ya kujenga 😀😀😀😀😀😀
Lakini performance = 0Timu tajiri zaidi afrikaView attachment 713298
Povu jingi,barabara hamna watu wanafikaje makwao hujiulizi???Itakuwaje bora wakati mpangilio haupo? Itakuwaje bora wakati barabara hazipo? Ndugu, muwe tu wangwana na wakweli na mkubali kwamba kwa sasa, Dar haifikii Nairobi hata robo kwa upande wa makazi na planning ya estates. Hizo apartments mnaita domitories are way better than those crammed shacks with corrugated iron sheets you call dream houses here.
Moja ya maendeleo Nairobi imeshindia Dar ni kwamba iko na estates bora na zilizopangwa vizuri kuliko Dar. Pili, nairobi iko na barabara bora tena pana kuliko Dar ambayo ni juzi tu ndo mmeanza kujenga barabara. Naeza endelea zaidi ya hapoIngekuwa vyema ungetaja wewe kwanza kuthibitisha madai yako kwa nairobi imeendelea kuzidi dar.
Usisumbuke ndugu yangu, watakana hayo yote na kusema ni picha za west AfricaDar es salaam suburbs cheki hata BRT ni part of the big slum/suburb landmark😱😱
![]()
![]()
![]()
![]()
Wakikuyu ndo wanaishi hapo ila usisahau Kenya yote inamilikiwa na familia 20000 tuMiddle incomes estates in eastlands part of Nairobi showing parts of Buru Buru and Umoja estates. Tanzanians, these are the type of images we want from you. Sio picha za nyumba mija moja. Tuleteni picha za middle income estates like the ones above in Nairobi. Kazi kwenuView attachment 713269
Kuna tofauti ya kuwa na barabara na kuwa na paved road, sawa kijana wa tandale kwa walalahoi?Povu jingi,barabara hamna watu wanafikaje makwao hujiulizi???
Eti hata robo,hayo maghotofa mmepangishwa kama kota za wanajeshi ndio unadhani nyumba za watu wote zinatakiwa kukaa hivyo???
Statistics straight outa your arse man.Wakikuyu ndo wanaishi hapo ila usisahau Kenya yote inamilikiwa na familia 20000 tu
Hata nyinyi jengeni zenu wanyamwezi waishi ndani badala ya kujaza jiji na slums na kuziita dream houses. Kisha mngoje nani atalalamika na kuziita dormitoriesWakikuyu ndo wanaishi hapo ila usisahau Kenya yote inamilikiwa na familia 20000 tu
Nawachokonoa tu najua inawauma mbaya.Usisumbuke ndugu yangu, watakana hayo yote na kusema ni picha za west Africa
Really? Acha nikujilishe kidogo mwarabu wa tandale...huku kenta hatukodishi ardhi kutoka kwa serikali mfanyavyo huko bongolala. Japo kuna badhi ta wakenya hawana ardhi, 90% ya wakenya wanamiliki ardhi, or ancestral land ambayo serikali haina usemi. Mimi binafsi babangu alikuwa na hekari zaidi ya mia moja ambayo aliridhi kutoka kwa babake miaka za 1890s. Hadi wa leo hiyo ardhi ni yetu japo imegawanywa kwa watato na wajukuu wake.Hahahha ardhi itabakia kua ndoto kwa wakenya
A middle income estate in Dar is slum with the overrated brt passing through. These are images they will never show you. Watakuletea picha ya brt next to those three blue towers in different angles a screaming caption of Miami!View attachment 713202