Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Middle incomes estates in eastlands part of Nairobi showing parts of Buru Buru and Umoja estates. Tanzanians, these are the type of images we want from you. Sio picha za nyumba mija moja. Tuleteni picha za middle income estates like the ones above in Nairobi. Kazi kwenu
6498.jpg
 
Middle incomes estates in eastlands part of Nairobi showing parts of Buru Buru and Umoja estates. Tanzanians, these are the type of images we want from you. Sio picha za nyumba mija moja. Tuleteni picha za middle income estates like the ones above in Nairobi. Kazi kwenuView attachment 713269
hzo ni appartments za watu wanakodisha tofautisha kati ya kukodisha na kumiliki hvo ni vitu viwili tofaut kaka usichanganye mada kabisa😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ushafika Dar? Waulize hata ndugu zako maanake tunakaa nao huku Kinondoni,Kijitonyama,Sinza...waulize wanakaa sehemu kama Kibera?
Si lazima niwaulize kwa sababu waneweza shikwa na aibu wasiniambie ukweli kuhusu sehemu wanazoishi. Nilichofanya ni kuuliza google earth ambayo katwe najua haitanidanganya liwe liwalo
 
Middle incomes estates in eastlands part of Nairobi showing parts of Buru Buru and Umoja estates. Tanzanians, these are the type of images we want from you. Sio picha za nyumba mija moja. Tuleteni picha za middle income estates like the ones above in Nairobi. Kazi kwenuView attachment 713269
Tuseme tuu ukweli, hatuna estates (dormitories) kubwa kwa middle income earners kama hizo though zipo lakini kwa uchache sana

Ila place au nyumba waishio hao wa kuitwa middle income ni bora zaidi ya hizo dormitories zenu

Wengi wa vipato hivyo huishi kwenye apartment na nyumba zao binafsi
 
yani hajui kutofautisha kati ya mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartments😀😀😀😀😀
 
hzo ni appartments za watu wanakodisha tofautisha kati ya kukodisha na kumiliki hvo ni vitu viwili tofaut kaka usichanganye mada kabisa😀😀😀😀😀😀😀😀
Unahitaji information zaidi ya picha za google.
Brt imepita morogoro road. Sehemu zote along morogoro road ni planned, ila ni high density, kwahio ukipiga aerial photo lazima utaona nyumba zimebanana.
 
naona geography ilimpiga chenga😀😀😀😀😀
 
Ulisema hapo awali kwamba Nairobi ni mji kadogo sana. Kwa kusema hivi naamini ya kwamba ulimaanisha udogo in terms of sq km ndo maana nikakupa mfano wa NY ambayo ni ni ndogo kwa dar in the same way. In short, umuhimu au maendeleo wa mji haupimwi kwa kwa wa eneo coz NY ni ndogo sana ila ni muhimu tena imeendelea kushinda dar just the same way Nairobi ni ndogo kwa Dar ila ni muhimu tena imeendelea kuliko Dar. that was my point
Endelea kuishi kwa mazoea.

Nairobi haijendelea kuishinda dar,hili ndilo tunaagiza mthibitishe tokea page one.afadhali useme ni mji muhimu maana umepata kuendelea muda mrefu kuizidi dar ya juzi juzi.
 
hzo ni appartments za watu wanakodisha tofautisha kati ya kukodisha na kumiliki hvo ni vitu viwili tofaut kaka usichanganye mada kabisa😀😀😀😀😀😀😀😀
Tunajua Dar mnamiliki "dream houses" with hot jacxuzis as seen un Google earth images. my brother, Google eart never lies. Unaeza nidanganya hapa jf lakini Google earth haiwezi
 
ushaelezwa tofautisha mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartments na wakenya wengi mumekodisha hamuna ardhi ya kujenga 😀😀😀😀😀😀
 
Endelea kuishi kwa mazoea.

Nairobi haijendelea kuishinda dar,hili ndilo tunaagiza mthibitishe tokea page one.afadhali useme ni mji muhimu maana umepata kuendelea muda mrefu kuizidi dar ya juzi juzi.
Ni mandeleo gani Dar inazidia Nairobi? hebu taja hata moja
 
ushaelezwa tofautisha mtu kumiliki nyumba na kukodisha appartments na wakenya wengi mumekodisha hamuna ardhi ya kujenga 😀😀😀😀😀😀
Endeleeni kumiliki shacks ndani ya jiji. sisi tunapangisha nairobi na runamiliki nyumba makwetu.
 
Back
Top Bottom