Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

anajua Kenya doh iko.......Infact most Tanzanian musicians use Nairobi to rise to fame.....not even Dar
Ndugu diamond anafanya show ulimwengu mzima na anatafuta pesa ulimwengu mzima ndio maana anajenga sana tanzania na amaeajiri watu tanzania na kwa taarifa yako diamond ameanza kuwika kimataifa baada ya kukubadilika south africa na nigeria.... wala usijipe hope😀😀
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.

My brothers Watanzania, Wakenya na wote wa East Africa,
Can you please stop this nonsense. Hivi hamuwezi kujadili vitu vya maana kweli, aliyewambia maendeleo ni Majengo nani? au mnataka kuuhakishia ulimwengu kwamba vyuo vyetu vya Africa haviwafundishi watu kutafakari kwa kina. Nchi za Scandinavia hazina Mabarabara au majengo Makubwa kama Marekani, China nk lakini ubora wa Maisha ni no MOJA. Msiturudishe nyuma na ujinga wenu, tuko kwenye hatua nzuri ya kuunganisha wa Africa Mashariki na kuboresha maisha ya watu wetu. Tunataka mtu Mtanzania akiugua akiwa Kenya, Uganda au popote apete huduma bora na Mkenya, Mrwanda hivyo hivyo hayo ndo maendeleo ya kweli.
 
anajua Kenya doh iko.......Infact most Tanzanian musicians use Nairobi to rise to fame.....not even Dar
Na eka akilini ushindani wa kimziki tanzania ni mkubwa sana dont think watu wote wanamkubali diamond in tanzania bado kuna king kiba kina fidq mfalme wa hiphop yani soko la mziki tanzania ni pana na lina ushindani mkali sana
 
My brothers Watanzania, Wakenya na wote wa East Africa,
Can you please stop this nonsense. Hivi hamuwezi kujadili vitu vya maana kweli, aliyewambia maendeleo ni Majengo nani? au mnataka kuuhakishia ulimwengu kwamba vyuo vyetu vya Africa haviwafundishi watu kutafakari kwa kina. Nchi za Scandinavia hazina Mabarabara au majengo Makubwa kama Marekani, China nk lakini ubora wa Maisha ni no MOJA. Msiturudishe nyuma na ujinga wenu, tuko kwenye hatua nzuri ya kuunganisha wa Africa Mashariki na kuboresha maisha ya watu wetu. Tunataka mtu Mtanzania akiugua akiwa Kenya, Uganda au popote apete huduma bora na Mkenya, Mrwanda hivyo hivyo hayo ndo maendeleo ya kweli.
kaka hili group liache hvihvi lina maana kubwa sana na linaelimisha sana sio watanzania tu bali wakenya na jamii zingine tena limesaidia sana wakenya kuijua tanzania of 2018 na sio ile ya 90s sasa wewe liache kabisa😀😀😀😀😀😀
 
Wanashangilia laana walioachiwa hahaha
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
5D7F6F13-1533-4744-AA20-3EBCA077A6D7.jpeg
 
My brothers Watanzania, Wakenya na wote wa East Africa,
Can you please stop this nonsense. Hivi hamuwezi kujadili vitu vya maana kweli, aliyewambia maendeleo ni Majengo nani? au mnataka kuuhakishia ulimwengu kwamba vyuo vyetu vya Africa haviwafundishi watu kutafakari kwa kina. Nchi za Scandinavia hazina Mabarabara au majengo Makubwa kama Marekani, China nk lakini ubora wa Maisha ni no MOJA. Msiturudishe nyuma na ujinga wenu, tuko kwenye hatua nzuri ya kuunganisha wa Africa Mashariki na kuboresha maisha ya watu wetu. Tunataka mtu Mtanzania akiugua akiwa Kenya, Uganda au popote apete huduma bora na Mkenya, Mrwanda hivyo hivyo hayo ndo maendeleo ya kweli.
Samahani, hebu niambie maendeleo ni nini?
 
Please remind him about CNN...we roasted them live on social media when they dared talk bad about our beautiful land forcing their CEO to fly in just to apologize. Don't ever pick a fight with Kenyans on social media, you'll live to regret that decision. Hata wanaija walijaribu wakaona maajabu
Naona unapiga biti
 
Back
Top Bottom