Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 713432 View attachment 713432
the longest and modern BRT in africa eat that😀😀😀😀😀😀 tafuta brt africa yenye urefu zaidi ya 20km ukipata nitag
😀😀😀mwambie BRT ilivyokuwa tamu yani kuna viti vya watu maalum kama wazee wajawazito pia azitumii mafuta zile yani modern zinatumia gas😀😀😀😀😀 ile ni ndege ya chini tunangoja SGR.
 
View attachment 713411🙂🙂🙂🙂🙂niambie tu kama kuna mkenya maskini anaweza miliki izi slum zetu bila kupangisha
What's the big deal about houses
....we build in our ushagos


View attachment 713411🙂🙂🙂🙂🙂niambie tu kama kuna mkenya maskini anaweza miliki izi slum zetu bila kupangisha
7997252438_ceb36166b1_b.jpeg
 
heheh kabla hujakuwepo wewe humu alikuwepo wanjala alituonesha hio pic tukaamuumbua kwasababu tunaijua hio nairobi vzr sasa sijui wewe unataka kutudanganya nini???😀😀😀😀
Ndio maana nikasema ukatae ukubali, sio lazima ukubali ila huo ndo ukweli. Na wewe mwanatandale unaposema unajua nairobi vizuri na mimi mkazi wa hili jiji hutaki kukubali nichosema unataka tukusaidiaje. Hizo picha za kibera upgrading ziko nyingi tu na nitazileta uchoke
 
Hilo sio lengo langu, lengo langu ni kuwaambia hampendi kupaka nyumba zenu rangi. Zinakuwa kama dormitories.
haha hatupendi ushamba, nyumba unapaka rangi ndani
na nairobi haiko area ya bahari kama Dar
 
their top radio presenters have to post him on their social platforms to show he is in kenya...diamond is bigger than kenya...povu ruksa.
IMG_20180313_150833.jpg
 
cheki na ulivyo mshamba bado unatumia window 7 😀😀😀😀😀hiyo hapo unaona nini kwa ufahamu wako.😎😎😎
😀😀😀 hilo jiji ni kama jehanamu,uko keen kuangalia os GANI NATUMIA, anyway most people downgrade from windows 10 to windows 7 dude...inategemea coformance to your usage. tena we ueona kama hii ni laptop?
 
Back
Top Bottom