Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hvi ww unajua kwann dar BRT tunaita longest and modern sasa sikiza kwa amakini nikupe elimu
phase 1 hio ni 21.7km
phase 2 ni over 27km
phase 3 ni over 35km
phase 4 and 5 and 6😀😀😀😀

na hapo ukumbuke phase 2 na 3 zinaanza ujenzi kwa pamoja mwezi wa tano
tuliza akili budaa usiwe mpuuzi😛😛😛😛😛
"tuta'
 
Hii ndio kitu inapambanishwa na Nairobi! Nkt. Halafu utasikia mtu mzima na akili zake akisema wanamiliki dream houses in Dar. Dunia simama nishuke...!
Ni hii hapa😀😀😀😀😀😀
C669BAC0-B296-4E00-85F5-3BC4ABA586E3.jpeg
 
Mngeanza kwa kupaka zile kofia za nyumba zenu zenye kutu rangi kwanza. Jiji nzima imejaa nyumba za mabati zenye kutu alafu mnasema ni city!
Unashangaa bati kuwa na kutu hukusoma chemistry???au ulienda shule kujifunza kiingereza???
 
Hii ndio kitu inapambanishwa na Nairobi! Nkt. Halafu utasikia mtu mzima na akili zake akisema wanamiliki dream houses in Dar. Dunia simama nishuke...!
Nairobi now weka ligi moja na kampala huko,is no more to compete with dsm.

Kama huelewi endelea kukomaa.
 
Mngeanza kwa kupaka zile kofia za nyumba zenu zenye kutu rangi kwanza. Jiji nzima imejaa nyumba za mabati zenye kutu alafu mnasema ni city!
$12B vs $9B, utajua ni mji upi wenye majengo mengi ya kisasa, Nairobi ikifikisha $12B, itakua kama Dar, without slums.
 
Back
Top Bottom