Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Really? Acha nikujilishe kidogo mwarabu wa tandale...huku kenta hatukodishi ardhi kutoka kwa serikali mfanyavyo huko bongolala. Japo kuna badhi ta wakenya hawana ardhi, 90% ya wakenya wanamiliki ardhi, or ancestral land ambayo serikali haina usemi. Mimi binafsi babangu alikuwa na hekari zaidi ya mia moja ambayo aliridhi kutoka kwa babake miaka za 1890s. Hadi wa leo hiyo ardhi ni yetu japo imegawanywa kwa watato na wajukuu wake.
Tatizo Kenya ni kwamba, serikali ni kwa ajili ya watu wachache na kabila mbili, ndiyo sababu hamuoni faida ya serikali yenu. Huku Tanzania ni tofauti sana, serikali ndiyo baba ambaye anatafuta chakula kwa ajaili ya kuwalisha watoto wake, na kuhakikisha kuna usawa kati ya watoto wote, hakuna mtoto anayepata zaidi ya wengine, ndiyo sababu tuna best public Hospitals, kila mtu anapata chakula cha kutosha, na kila mtu anapata ulinzi wa maisha yake, kila mtu anapata maji ya kutosha, na kila mtu ana uhakika wa kupata ardhi kutokana na mahitaji yake, bila kuwakosesha wengine ardhi.
 
Really? Acha nikujilishe kidogo mwarabu wa tandale...huku kenta hatukodishi ardhi kutoka kwa serikali mfanyavyo huko bongolala. Japo kuna badhi ta wakenya hawana ardhi, 90% ya wakenya wanamiliki ardhi, or ancestral land ambayo serikali haina usemi. Mimi binafsi babangu alikuwa na hekari zaidi ya mia moja ambayo aliridhi kutoka kwa babake miaka za 1890s. Hadi wa leo hiyo ardhi ni yetu japo imegawanywa kwa watato na wajukuu wake.

Na wazungu wakija mnawauzia au mnawakodishia
 
Kwa watanzania mnaopenda kutaja kibera, this is what is happening on the ground.
6469.jpg
 
Moja ya maendeleo Nairobi imeshindia Dar ni kwamba iko na estates bora na zilizopangwa vizuri kuliko Dar. Pili, nairobi iko na barabara bora tena pana kuliko Dar ambayo ni juzi tu ndo mmeanza kujenga barabara. Naeza endelea zaidi ya hapo
Hahahahaha..hayo ndiyo maendeleo kwa mujibu ya akili zako. Vipi kuhusu security, vipi kuhusu upatikanaji wa maji safi na salama, vipi kuhusu uchafu wa mazingira, vipi kuhusu public transportation system, vipi kuhusu better public hospitals, vipi kuhusu inflation rate, vipi kuhusu unemployment, vipi kuhusu children of the streets and homeless people?. Ama kweli ninyi ni failed state, kumbe mkipiga kelele kwamba Kenya imeizidi Tanzania kwa maendeleo mnaangalia nyumba za ghorofa na barabara, stupid nyang'au.
 
Didn't you see the part is said "naeza endeleo zaidi ya hapo"? it means that I could have mentioned more than just those two points. My brother, you could have done better by countering those two points I listed above badala ya kupiga kelele mithila ya mtu aliyekunywa mchuzi wa albino. Hata kwa hizo ulizotaja, hakuna kitu Dar isnshindia Nairobi. I can tell you that for free. Kwa sasa, let's tackle those two I listed above.
 
ila nachowakubali hawa wakenya wakizidiwa wanashindanisha kenya na DSM.
Tangu lini a fishing village like Dar ikashinda Nairobi? Pambanisheni hako ka glorified village kenu na Mombasa au hata Kampala. Nairobi iko na heshima yake ukanda huu kulinganishwa na ujinga kama Dar
 
😀😀😀😀😀naona hata nje ya nairobi ujawai toka wewe sijui hata nauli yenyewe unaipatia wapi tembea wewe DSM aijasimama inarun kama motor
 
what do you think? please share with us, we'd like to know what you think

Nilijua hauwezi kujibu kwasababu inakuuma wazungu wanakuja wananunua ardhi na kuwapiga wakenya risasi wanapovuka na ni nchi yao.😀😀😀😀 subirini baada ya muda mtashtuka asilimia 25 ya ardi yenu inamilikiwa na wazungu.😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom