El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Unawakana LDC wenzenu mliowasaidia vita vya Idi Amin?hamna tofauti ujue.
Nyie wote ndio hamna usafiri wa maana wa umma mijini kwenu.Unawakana LDC wenzenu mliowasaidia vita vya Idi Amin?
Bei ya ardhi kuwa juu Nairobi ni kwa sababu haichezi ligi moja na Dar, which is a fishing village. Nairobi is the most important city in this region politically, socially and economically so there's no way you should expect price of land to cost the same thing it costs in your glorified village. Secondly, watu wako Nairobi kikazi, they have their homes upcountry.![]()
![]()
![]()
unafurahia nairobi kuwa na ardhi bei juu,na unajiona uko timamu upstare.
we cheza na huu usafiri wa 3rd world countryNyie wote ndio hamna usafiri wa maana wa umma mijini kwenu.
Kumbe Tanzania bado wanatumia 'look me I look you'?we cheza na huu usafiri wa 3rd world country
![]()
Sisi tupo hapa
![]()
Bei ya ardhi kuwa juu Nairobi ni kwa sababu haichezi ligi moja na Dar, which is a fishing village. Nairobi is the most important city in this region politically, socially and economically so there's no way you should expect price of land to cost the same thing it costs in your glorified village. Secondly, watu wako Nairobi kikazi, they have their homes upcountry.
pole sana.Hiyo ni barabara sio usafiri,acha miraa.we cheza na huu usafiri wa 3rd world country
![]()
Sisi tupo hapa
![]()
we cheza na huu usafiri wa 3rd world country
![]()
Sisi tupo hapa
![]()
Nyie mmeboresha mnachukua canter na kuchoma bodi ya hiace nyuma.Kumbe Tanzania bado wanatumia 'look me I look you'?
Uliziona tz wapi??niliona hizo dala dala kwa wingi huko Tz......hapa wanacheza pr ya hali ya juu ila ni LDC tu .maskini wa kutupwa...
Tz bado ni ile ile ya 90sKumbe Tanzania bado wanatumia 'look me I look you'?
sehem gani huko bro heb tuambie tukazione, maana Tanzania kubwaniliona hizo dala dala kwa wingi huko Tz......hapa wanacheza pr ya hali ya juu ila ni LDC tu .maskini wa kutupwa...
Usafiri ni wa 90s hata barabara zenyewe ni za zamani za kale.Hiyo ni barabara sio usafiri,acha miraa.
Hamna kilichobadilika Tz ispokuwa TPF na hilo daraja lao la 500metres.niliona hizo dala dala kwa wingi huko Tz......hapa wanacheza pr ya hali ya juu ila ni LDC tu .maskini wa kutupwa...
Jifurahishe.Tz bado ni ile ile ya 90s
mbona unabadilisha goli? we were talking about Nairobi, ardhi kwingineko kenya ni story ya siku ingine. Ila naamini kwamba ujumbe umepokea. bei ya ardhi iko juu Nairobi coz it's a competitive city given its significance in this region and Africa as a whole![]()
![]()
pole sana.
Hiyo ni kenya nzima si nairobi pekee,sababu sio uliyotaja ila ni sababu ardhi ya kenya ni mali ya watu binafsi wachache.
Hata hapo glorified village aka Dar zipo kwa wingi ila mtakana kama ilivyo desturi yenuUliziona tz wapi??
utaorodhesha sana safari hiiHamna kilichobadilika Tz ispokuwa TPF na hilo daraja lao la 500metres.
...and an overrated brt that passes through slums aka dream housesHamna kilichobadilika Tz ispokuwa TPF na hilo daraja lao la 500metres.