Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waona taabu zenu, hadi mwafuatilia watu. I may be new here but God knows nimewazidi intellect,na si masihara. . ..i will always say it,, You have problems and until mjitambue hamwezi acha tabia hizi. Mwaishi kumangamanga na ya wengine..You will always be losers to Kenyans.. Period!
chizi umelogwa tena
 
Hii nchi mm hua inanishangaza sana
C3BFF5B4-343F-402F-BF6A-62D68D511C90.jpeg
 
Yeah my friend, most kenyans (not all) act like they are more civilized than other nations and think that they are more intelligent than other nations because majority of them speak English. And when you see them outside their houses they act western and all but when you find where they sleep you will laugh. They dream to live the Queen's life but at the end of the day they don't have enough resources because in reality they are still a least developed country but they are getting fooled by papers.
Yah chief sure.....wakenya ni kinyesi kabisa
 
Sijui unapozungumzia hiyo comparison unaangalia nn! Ila naweza kukwambia population ni factor muhimu sana.. Sijui uelewa wako upo kwenye nn..na I don't mean to disrespect..

Ukweli kabisa kwa kuangalia uzuri, how nice and paved roads are.. Public parks..na maybe GDP upo sahihi.. Ila umeiangalia kodi ya Jo'burg? Minimum ni 18%; inamaana serikali inakusanya kodi sana.. Na ni kitu kizuri.. Wakati city like Cairo na Lagos minimum ni 0% that means kuna kundi kubwa hawakusanyi kodi sana.

On the other hand ndani ya Lagos na Cairo private business thrives more than in Jo'burg simply because the money is with people. Utaicheka population lakini inao umuhimu mkubwa sana kwenye growth ya nchi (China) au hata city.

Wakoloni hawakuja Afrika kuchukua malighafi tu.. Walikuja kuongeza market base pia.. Hii mifano yote ninakupa ili ujue kwa global economy how important population is.

Najua kinachokupa shida ni kufikira how much of a threat another successful city, with much bigger population, well connected with the rest of East Africa with state of the art and reliable transport means (ElectricTrain).. A strategic positioned port could mean to your ever fading regional dominance.

Nitakwambia the effect of the Greater City of DSM will dwarf you before you know it. Our central corridor.. Central rail will magnetize the social and economic activities to the center of Tanzania..

And Dar as the gateway sits connecting the southern corridor( Lindi+Mtwara).. Southern Highlands Corridor ( this connects Iringa, Njombe, Songwe, Mbeya.. Malawi, Zambia up to Angola.) After we are done we are coming for Kenya with the Taveta -Arusha-Tanga-Bagamoyo Rail.. And the Mombasa to Mtwara Coastal Road via DSM. (All roads and rails leads to Dar)

For easy transportation of manufactured goods ..production facilities will be along the central corridor.. Migration of goods and people will shift to the center of the nation.. The potential markets for your product will be disrupted and that might lead to worsened unemployment issues. Meaning less interest for people to move to a city like Nairobi.

I think you must start now to re-strategize maybe change your theme of a city to a "tax heaven" give everything for free to whoever wants it before Zanzibar takes that away too. 🙂 maybe that way you might be able to keep few people around.
Tuliwaachia porojo mingi, whatever your planning ni our reality already..

Unajiona unajua sana but haujui... Nigerians, Zibabweans, Somalis,Ethiopians are flocking Jozi to start small businesses leading to xenophobic attacks.

Population is only important if it comes with Purchasing power.. China with ove 1B people is still behind USA in spending..

One day Africa will open all it's borders to other African countries. Strategic Cities will control trade.. Take it or leave it.
 
Tuliwaachia porojo mingi, whatever your planning ni our reality already..

Unajiona unajua sana but haujui... Nigerians, Zibabweans, Somalis,Ethiopians are flocking Jozi to start small businesses leading to xenophobic attacks.

Population is only important if it comes with Purchasing power.. China with ove 1B people is still behind USA in spending..

One day Africa will open all it's borders to other African countries. Strategic Cities will control trade.. Take it or leave it.
Unajua shida yako unaangalia vitu haraka haraka na unahamaki kama unapingwa tuu muda wote.. Hiyo US unayoisema against China kaangalie ripoti ya Bloomberg ...

Sio kuspend pesa nyingi kunamaanisha the market is big too. Wakati mwingine same thing could cost half a price in one area na ikawa double the price kwingine. Mfano rent in dar for commercial property down town ni around 22$per sqm. Nai iko chini ..haimaanishi uchumi wetu in super simply because nalipa pesa nyingi kwa pango!

Simply the taxes are higher in that particular area, so it does reflect on prices... Na usitake kubisha tu kwa kudandia data usizotaka kuzianalyze. Chukua muda kuzisoma ..na kuwauliza wanaojua ... Mi sio mchumi ila humu wapo wanatupa ufafanuzi mzuri sana tu.
 
while years ago dar es salaam city authority banned the use of light commercial vehicles from carrying passengers and entering the city cbd, our bitter neighbors still use them.

old version of toyota hiaces which are used as public transport is something very common in nairobi cbd.

hizi takataka huwezi kuziona zikiingia kwa cbd yetu kwa lengo la kubeba abiria, tulishatoka huko kitambo sana.
IMG_20180313_013124.jpg
IMG_20180313_012615.jpg
IMG_20180313_012503.jpg
IMG_20180313_012432.jpg
IMG_20180313_012412.jpg
IMG_20180313_012223.jpg
IMG_20180313_012049.jpg
 
Hapa kunatofauti kubwa sana kati ya wakenya na watanzania. Kwa watafiti nilikutana na watafiti wa kiongelea uzi huu. Wakenya wana post everyday vitu vile vile huku watanzania wakionesha vitu vingi tofauti tofauti.
 
Inegekuwa vyema sana kama mngetumia hiyo akili kutoka ldc kwanza. Ama mlirogwa na aliyewaroga kafa?

Hayo mambo ya LDC ni mambo ya kukokotoa tuu namba, mwanahisabati yeyote anaweza kubadilisha hapa na kuweka pale ili tuu kutengeneza takwimu za kupendezesha wawekezaji. Tanzania sisi sera yetu haijawahi kuwa hiyo, sisi tunataka maendeleo ya kweli, yaani kuondoa ujinga, umasikini na maradhi.

Nilipodekezea kuwa nchi yetu inaakili nilimaanisha tulianza kujenga nchi toka chini kabisa... kwenye msingi wa umoja na usawa. kutoka wahandisi (Engineer) wawili mpaka sasa tunao lukuki kama wale wanao jenga SGR. Kutoka nchi yenye makabila karibu 130 yanayoongea lunga zaidi ya 200 mpaka watanzania wanaoongea lugha moja ya kiswahili.

Hakuna nchi yeyote Afrika iliyofanya hivyo.

Mambo tuliyoyafanya hako nyuma, japo tulipata watu waliotuyumbisha, yalikuwa ya msingi ndiyo maana kwa nje tulionekana kama vile tumezubaa. Lakini sasa baada ya msingi kukamilika 'jumba' letu refu limeanza kuchomoza na wewe ni shahidi jinsi maendeleo yanayotokea katika kipindi cha miaka ya hivi ya karibuni.
 
Back
Top Bottom