Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dense-housing-in-dar-es-salaam-aerial-view-picture-id614928338
Leta ushahidi kua hapo ni dar na ukileta wewe mwanaume wa kweli😀😀😀😀
 
Didn't you see the part is said "naeza endeleo zaidi ya hapo"? it means that I could have mentioned more than just those two points. My brother, you could have done better by countering those two points I listed above badala ya kupiga kelele mithila ya mtu aliyekunywa mchuzi wa albino. Hata kwa hizo ulizotaja, hakuna kitu Dar isnshindia Nairobi. I can tell you that for free. Kwa sasa, let's tackle those two I listed above.
Ukiwa unajibu swali au unalinganisha vitu unapaswa kuanza na strong point, mwisho unamaliza na wiki points, hivyo ulivyotaja kamwe sio muhimu katika vipengele vya maendeleo ya watu, kama hayo niliyoyataja bado hayajafikiwa katika nchi kama ya Kenya yenye matatizo mengi ya msingi, vipi unazungumzia majumba ya ghorofa wakati maji ya kutumia ni shida?
 
😀😀😀😀😀naona hata nje ya nairobi ujawai toka wewe sijui hata nauli yenyewe unaipatia wapi tembea wewe DSM aijasimama inarun kama motor
Aliyesema Dar es salaam imesimama nani? Najua inaendeleo kwa kasi yake ila Hata irun 100 meters per second haitawahi fikia Nairobi
 
Aliyesema Dar es salaam imesimama nani? Najua inaendeleo kwa kasi yake ila Hata irun 100 meters per second haitawahi fikia Nairobi
kwa vile nyie ni developed country😀😀😀😀😀😀
 
Ukatae ukubali huo ndo ukweli so endelea kujifariji. Na usisahau pia kuendelea kuleta picha za kibera
heheh kabla hujakuwepo wewe humu alikuwepo wanjala alituonesha hio pic tukaamuumbua kwasababu tunaijua hio nairobi vzr sasa sijui wewe unataka kutudanganya nini???😀😀😀😀
 
Hehehe I think you've shown us all your Tanzanian village "cities" like mbeya etc etc......the GDP of Nairobi is equal to the whole of Tz
very good ok prove nairobi GDP nd dar GDP am waiting😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nilijua hauwezi kujibu kwasababu inakuuma wazungu wanakuja wananunua ardhi na kuwapiga wakenya risasi wanapovuka na ni nchi yao.😀😀😀😀 subirini baada ya muda mtashtuka asilimia 25 ya ardi yenu inamilikiwa na wazungu.😀😀😀😀
You have danced to my tune, you see? that's precisely what I wanted to hear from you. Now danganyikan, wazungu wanaomiliki ardhi kwnya wamezikodisha, japo kuna waxhache wanaomiliki hizo ardhi. Halafu most of these farms are concentrated in two or three counties,mostly Nakuru, Naivasha and Laikipia counties. In Laikipia for instance, they own conservancies if you know what that is. So yes, most of them lease these pieces of land mostly for a period of 99 years. Next question?
 
Back
Top Bottom