90% of Dar looks that way.....lakini porojo hapa jf ndio wao
Bila kuiona SA ama Kenya that's BS.
as usual running to the 2km sq kibera for consolation
Njoo Dar ujionee wewe acha kutegemea google, hiyo inakuonyesha aerial view pekee, ama muulize CS Balala atakuambia kwamba Dar is a modern city wakati Nairobi is very old city.Alafu mbona Dar ni vigumu sana kutofautisha slums na middle income or high income areas? Dar es salaam mitaa zote zinafanana shilinginkwa ya pili halafu hazina mpangilio jinsi hiyo picha unavyodhihirisha. Ukiingia google earth utaona nyumba za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio wowote. Ndio maana siku zote tunaita huu mji wenu slum city
90% of Dar looks that way.....lakini porojo hapa jf ndio wao
2km alaf the biggest slum in the world wewe inakuingia akilini??😀😀😀😀😀😀middle-class neighbourhood with hot jacuzzis
as usual running to the 2km sq kibera for consolation
Ni vigumu kutofautisho kwa sababu ukitazama images za Dar kwenye gogle earth, unachoona ni nyumba za mabati zilizorundikana kila mahali. Kwa kweli ni sehemu chache sana Dar ziko na mvuta ukiingia pale Google earth ambayo inatoa uhalisia wa mambo. In short, Dar haina mpangilioIn short hauijui Dar vilivyo, hata kama Dar iko unplanned kiasi gani huwezi ukashindwa kutofautisha sehemu za High, Middle, Normal na Lower income earner's
Of course areal view itakupa taswira ambayo sio nzuri yaan hutoweza kutofautisha sehem tajwa hapo juu
Uzuri wa Dar ni kwamba kila sehem za makazi sina status zake huwezi kwenda Tabata ambako ni Middle Income earners ukakuta kuna uswazi( Lower income ) NEVER
......
Usichokijua ni sawa na usiku wa giza
word...Hayo mambo ya LDC ni mambo ya kukokotoa tuu namba, mwanahisabati yeyote anaweza kubadilisha hapa na kuweka pale ili tuu kutengeneza takwimu za kupendezesha wawekezaji. Tanzania sisi sera yetu haijawahi kuwa hiyo, sisi tunataka maendeleo ya kweli, yaani kuondoa ujinga, umasikini na maradhi.
Nilipodekezea kuwa nchi yetu inaakili nilimaanisha tulianza kujenga nchi toka chini kabisa... kwenye msingi wa umoja na usawa. kutoka wahandisi (Engineer) wawili mpaka sasa tunao lukuki kama wale wanao jenga SGR. Kutoka nchi yenye makabila karibu 130 yanayoongea lunga zaidi ya 200 mpaka watanzania wanaoongea lugha moja ya kiswahili.
Hakuna nchi yeyote Afrika iliyofanya hivyo.
Mambo tuliyoyafanya hapo nyuma, japo tulipata watu waliotuyumbisha, yalikuwa ya msingi ndiyo maana kwa nje tulionekana kama vile tumezubaa. Lakini sasa baada ya msingi 'jumba' letu refu limeanza kuchomoza na wewe ni shahidi jinsi maendeleo yanayotokea katika kipindi cha miaka hivi ya karibuni.

A middle income estate in Dar is slum with the overrated brt passing through. These are images they will never show you. Watakuletea picha ya brt next to those three blue towers in different angles a screaming caption of Miami!View attachment 713202
uhahaha kwa vile MUNGU alianza kuwaumba nyie kwanza😀😀😀😀😀😀Bila kuiona SA ama Kenya that's BS.
Kwa hivyo google earth inadanganya?Njoo Dar ujionee wewe acha kutegemea google, hiyo inakuonyesha aerial view pekee, ama muulize CS Balala atakuambia kwamba Dar is a modern city wakati Nairobi is very old city.
Ni vigumu kutofautisho kwa sababu ukitazama images za Dar kwenye gogle earth, unachoona ni nyumba za mabati zilizorundikana kila mahali. Kwa kweli ni sehemu chache sana Dar ziko na mvuta ukiingia pale Google earth ambayo inatoa uhalisia wa mambo. In short, Dar haina mpangilio
Kama hivi...Ni vigumu kutofautisho kwa sababu ukitazama images za Dar kwenye gogle earth, unachoona ni nyumba za mabati zilizorundikana kila mahali. Kwa kweli ni sehemu chache sana Dar ziko na mvuta ukiingia pale Google earth ambayo inatoa uhalisia wa mambo. In short, Dar haina mpangilio
ati mwasiti..Mwasiti acha kelele, unaona upuuzi huo? mpaka hapo tushakujua we ni mtu wa aina gani 😀

Sasa nai iko kundi lipi kati ya new york au dar.Hatukatai Nairobi ni ndogo kwa Dar jinsi New York pia ni ndogo kwa Dar kiukubwa. Nadhani umepata nilichodhamiria hapo
You are religious?uhahaha kwa vile MUNGU alianza kuwaumba nyie kwanza😀😀😀😀😀😀