mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Nihamishe goki iweje??nakupa fakti kijana.mbona unabadilisha goli? we were talking about Nairobi, ardhi kwingineko kenya ni story ya siku ingine. Ila naamini kwamba ujumbe umepokea. bei ya ardhi iko juu Nairobi coz it's a competitive city given its significance in this region and Africa as a whole
Na ukweli unaujua ila sababu ni mchungu hutaki kumeza.kama ni rahisi hivyo makampuni nayo yangetoka nje ya jiji kukwepa gharama hizo za ardhi CBD.