Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nairobi-the-capital-city-of-kenya-aerial-view-DP52R8.jpg
That's kibera ni Nairobi. Swali ni je, kuna tofauti gani kati ya hiyo picha ya kibera na ile niliyoleta ya dar ambayo ni middle income estate? Cha ajabu ni kwamba mitaa zote za dar zinafana na hiyo picha ya kibera
 
Hapa mbona hawakueka sasa
0825BD3C-B350-4A62-B1F7-47E44A9844A8.jpeg
 
That's kibera ni Nairobi. Swali ni je, kuna tofauti gani kati ya hiyo picha ya kibera na ile niliyoleta ya dar ambayo ni middle income estate? Cha ajabu ni kwamba mitaa zote za dar zinafana na hiyo picha ya kibera
Ushafika Dar? Waulize hata ndugu zako maanake tunakaa nao huku Kinondoni,Kijitonyama,Sinza...waulize wanakaa sehemu kama Kibera?
 
Bringing photos of kibera wont change the sorry state of dar estates as seen on Google earth. plan your estates well then build decent houses halafu ndo mje meza moja tuongee. You can't have a conglomerate of slums covering 1500 sq km then start bragging of how big dar is over Nairobi. That's epitome of stupidity!
 
That's kibera ni Nairobi. Swali ni je, kuna tofauti gani kati ya hiyo picha ya kibera na ile niliyoleta ya dar ambayo ni middle income estate? Cha ajabu ni kwamba mitaa zote za dar zinafana na hiyo picha ya kibera
a8b6d2cbf19fe2b105fb3cc4efd265c8.jpg
 
Bringing photos of kibera wont change the sorry state of dar estates as seen on Google earth. plan your estates well then build decent houses halafu ndo mje meza moja tuongee. You can't have a conglomerate of slums covering 1500 sq km then start bragging of how big dar is over Nairobi. That's epitome of stupidity!
uhahahah lakini haipo hapa au wazungu walikosea😀😀😀😀😀😀 au tutoe nairobi tueke dar😛😛😛😛😛
23b48918-df9b-4b89-969c-d1371009b0c4-jpeg.701325
7b7f38de-5c22-4e45-92de-e1fe032357f9-jpeg.698592
 
Kama hivi...
2008_riot_aftermath3_600.jpg
Have you reslized that whenever you want to bash Nairobi the only weapon you have is kibera? just in case you didn't know, ni sehemu ndogo sana Nairobi and it is undergoing massive development even as I type this
 
Sehemu ndogo sana,lakini imeshindikana kabisa kuibadilish.
 
Sasa nai iko kundi lipi kati ya new york au dar.

Maana new york ni ndogo kuliko dar in term of diametre but interm of density new york ni zaidi mbali unaweza ona hata kwa idadi ya watu.

Sasa sijui nairobi unaweza ukaijengea hoja gani,ni ndogo kwa eneo,wingi wa majengo na thamani pia,wala idadi ya watu ni ndogo.

Embu hangaika kunishawishi maana sioni una hoja gani.
Ulisema hapo awali kwamba Nairobi ni mji kadogo sana. Kwa kusema hivi naamini ya kwamba ulimaanisha udogo in terms of sq km ndo maana nikakupa mfano wa NY ambayo ni ni ndogo kwa dar in the same way. In short, umuhimu au maendeleo wa mji haupimwi kwa kwa wa eneo coz NY ni ndogo sana ila ni muhimu tena imeendelea kushinda dar just the same way Nairobi ni ndogo kwa Dar ila ni muhimu tena imeendelea kuliko Dar. that was my point
 
Kwa hivyo google earth inadanganya?
Kama ulienda shule na ukasoma Physical geograph utajua matumizi ya aeria view ni yapi, kwanini usitafute horizontal views zinazoonyesha mazingira halisi, kama vile aina ya nyumba, mazingira yanayozunguka hizo nyumba na barabara zilivyo. Hivi kipi ni bora kati ya nyumba nzuri zenya mahitaji yote muhimu na slums kama Kibera zilizopangwa?
 
Back
Top Bottom