Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Middle class hapangi nyumba kunguni wewe.
Who told you so? Tatizo lako umekwama hapo tandale and you think that's all the world has to offer. Tembea kidogo kijana. Middle class ni mtu mwenye kipato cha wastan, sio masikini na sio tajiri. So mtu kama huyo kupangisha nyumba Nairobi ni shida? Ama unafikiri Nairobi ardhi ni shilingi mbili jinsi ilivyo Dar?
 
Weka hata barabara kama hii Tz though sote tunajua hamna😛
img_20180312_222313-jpg.712829
Wewe unakula sana miraa,punguza.
 
Mkuki kwa Nguruwe ________

Wakenya wamepanic leo hatari... wanasahau wanavyoleta picha za Siera Leone na kambi za wakimbizi wakisema ni Dar leo hii wanakataa picha za kwao wanataka ushahidi pia
Haha
 
Hapa kunatofauti kubwa sana kati ya wakenya na watanzania. Kwa watafiti nilikutana na watafiti wa kiongelea uzi huu. Wakenya wana post everyday vitu vile vile huku watanzania wakionesha vitu vingi tofauti tofauti.
Na nyinyi mnapost nini zaidi ya those three blue towers and an overrated brt that passes through slums? Je, mnaleta picha za estates za Dar? 90% of your postings ni pale cbd
 
Usijali kuna msemo wa kimombo unasema hivi: A man will brag with his penis no matter how small it is...so we understand you guyz are just having fun anyway its the small things in life...
Aliyeandika huo msemo wako hakujua kwamba kunazo kubwa na hazierect na kumridhisha bibi.
 
Who told you so? Tatizo lako umekwama hapo tandale and you think that's all the world has to offer. Tembea kidogo kijana. Middle class ni mtu mwenye kipato cha wastan, sio masikini na sio tajiri. So mtu kama huyo kupangisha nyumba Nairobi ni shida? Ama unafikiri Nairobi ardhi ni shilingi mbili jinsi ilivyo Dar?
unafurahia nairobi kuwa na ardhi bei juu,na unajiona uko timamu upstare.
 
Bora hata ungekataa kifusi cha uchafu ningeona una akili.unakataa rangi ya gari???

Anyway sasa hiyo moja ni uganda,zilizobaki ni burundi.
Swali ni: mbona alileta ya kampala? Stop using 1% of your brain
 
Aliyeandika huo msemo wako hakujua kwamba kunazo kubwa na hazierect na kumridhisha bibi.
Lakini hakuna aliyetoa msemo wa kutofautiana na wangu so technically yours is rendered useless on the basis of bile spewing rant.
 
Kando ya hapo slums zinaonekana tayari na tukiwambia kuwa Dar/tz ni slum prone country mnatokwa povu...hebu cheki rusty iron sheets hapo kwa huo upuzi umepost.
Niletee list ya 100 most cities with slums in the world.
 
Back
Top Bottom