Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,704
Nani alikwambia kwamba nairobi kuna viwanda cbd? When it comes to planning, Dar ni mtoto sana kwa Nairobi. najua pengine hujawahi fika nairobi but the city has a special industrial zone far from the cbd called Indutrial Area, the biggest in east and central Africa. Pale kuna mamia kwa mamia ya viwanda. Fika Nairobi siku moja nikutembeze industrial areaHamna kiwanda cbd.na majengo mengi yanajengwa pembeni kabisa ya mji.
Si unajua sisi huwa tunatumia akili vizuri kuliko watu kama wakenya.