Kwahiyo serikali ikitaka kujenga kila kitu inabidi iweke matangazo kila kata.?
Ndio kama miradi ni ya kuwaletea maendeleo wananchi lazima wananchi wazujuzwe...
Tunavyoona wenzetu walioendelea wanavyofanya,utasikia habari kwenye TV,au radio,au kwenne serikali za mitaa,kwaupi maendeleo hayawezi kupatikana bila ya kushirikisha yule mwananchi aliekuwepo sehemu ambayo mradi unataka kufanyika,mwananchi anatakiwaa afahamishwe ili ajue umuhimu wa ule mradi,
Bila ya kufanya hivyo,ndio tunaona miradi isiomalizika,tunaona miradi iliojaa rushwa,tunaoa miradi yenye utaa kibao, nakadhalika nakadhalika...
mwananchi ana haki ya kuuliza kwanini huu mradi umetumia pesa nyingi au kwanini huo mradi haumaliziki,nakadhalika nakadhalika
kwavile mwananchi ameshajua umuhimu wa huo mradi ujue mambo mengi ya huo mradi yatakwenda salama,
Yes,serikali ni wananchi,bila ya wananchi hakuna serikali bali kunakuwa na kikundi cha watu kunachowatumia wananchi kwa manufaa yao binafsi...,