Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea kama umekatwa kichwa,Hayo sio maswali buda
Inawezekana kaka kichwa changu ni cha mlevi lakini kweye list kipengele cha kwanza "Master Plan of the city" ndio matatizo ya Daresalam,huwezi kujenga majumba marefu lakini hakuna mambo ya msingi kwa wakaazi wa hayo majumba,hizo ni akili za kijinga....

Mtu kama wewe unaona majumba marefu ndio maendeleo,mimi naona majumba kama hayo ni matatizo kwa jamii ya kitanzania...

Hatujafikia huko bado,wakati utafika,lakini bado kwanza tujikite kwenye kutatua mambo ya lazima....
 
Unaongea kama vile unakapoint lakini bado sijakuelewa,Unapojenga jengo refu mambo mengi huzingatiwa ambayo kiutalaam yanafahamika,sasa sijui imeibukia wapi Unaenda hadi kunisaidia kuwaza kuhusu majengo Marefu, niliwah kuambia lini kwamba ndio kipimo cha maendeleo?

Tafuta points zenye mashiko weka mezani habari za kuniwaza jiepushe nazo
 
THIS IS KENYA JOH
Screenshot_2018-01-29-17-12-46.png
 
JJ sote hapa tunajua uwezo wako katika thread hii. usi argue na huyo kijana, atashusha credibility yako ili ajione yupo sawa na wewe katika kujenga hoja.
mpuuze please.

mpuuze kama mimi nilivyompuuza yule kilaza wa mombasa... yule mimi hata ani quote huwa simjibu kwa kum-quote.

namjibia pembeni kuonyesha ni jinsi gani nimemdharau.
 
Wenzetu wakenya wana ndoto hizi,Je Tanzania tuna ndoto gani....
 
Nani kasema sio uchumi wa kupika, hiyo figure imepikwa kama ambavyo international community imeonyesha wasiwasi wake juu ya hilo. Mimi nimesema hata kama mtapika figure na kuonyesha kwamba GDP ni $100B, inafaida gani kama ninyi wananchi haiwasaidii?, acha kulazimisha mambo.
Kama uchumi wa Kenya imepikwa basi hata ile ya Dar ya real estate pia imepikwa kwa sababu zote ni data za world bank. how about that?
 
wewe ni mkenya wala usifkiri tumekunyamazia ukajua hatujakujua haya tuoneshe hio render ya konza
Mimi ni mswahili wa Daresalam mkuu,Kenya nilienda kama mtalii tu,mawazo na fikra za wanannchi kwenye makaazi ndio yanayoleta mandeleo ya sehemu husika...

Siwezi kuusifia Mji wa Daresalam wakati najua wakaazi wake bado hawana akili za maendeleo,wewe mwenyewe Mkuu jifikirie kwanini umeanza kunituhumu kuwa mimi ni Mkenya??

Mimi naona umenishutumu kuwa sio MTz kwasababu hoja zangu zina mshiko,hayo sio maendeleo waswahili wanasema "kama huwezi kuwashinda ungana nao" ...nafikiri hamna mkenya na baadhi ya watanzania wanaweza kuandika Kiswahili ninachoandika,

Niwie radhi mkuu😉
 
Mimi ni mswahili wa Daresalam mkuu,Kenya nilienda kama mtalii tu,mawazo na fikra za wanannchi na wakaazi wa sehemu ndio yanayoleta mandeleo ya sehemu husika...

Siwezi kuusifia Mji wa Daresalam wakati najua wakaazi wake bado hawana akili za maendeleo,wewe mwenyewe Mkuu jifikiri kwanini umeanza kunituhumu kuwa mimi ni Mkenya??

Mimi naona umenishutumu kuwa sio MTz kwasababu hoja zangu zina mshiko,hayo sio maendeleo wasawhili wanasema "kama huwezi kuwashinda ungana nao" ...nafikiri hamna mkenya na baadhi ya watazania wanaweza kuandika Kiswahili ninachoandika,

Niwie radhi mkuu😉
thank you for speaking the truth brother...if you cant beat them, join them...mwambie huyo jamaa...wewe ukazungumza tu ukweli jamaa kasha kurukia na masingizio kana kwamba anaumwa...
 
You guys should understand that every country in Africa, SA included, faces its own challenges...By the way, SA has one of the highest crime rates in the world...it has slums everywhere from Cape Town to Johannesburg and also has the worst inequality levels in Africa...kuna mahali SA ni kama tu nchi zilizoendelea na kuna mahali ni kama tu third world countries or worse...
main-qimg-85afeef34d372b58f3bad0907b04a173.webp

main-qimg-ade8d4665c696c97ca04d421f99866c5.webp

main-qimg-8328785cc8c7932a3551278c2dd1d5aa.webp
main-qimg-6ecc6fb575c5a9f183a27298456226a7.webp
main-qimg-ab9e4944969c9c497ab47edd5087da95.webp
main-qimg-46ab0f6c83aa000f1b31fa7ec3afe957.webp
main-qimg-8feb897f980a24103b01e865d51a5a39.webp
main-qimg-8e1e83db9fa498e1b267bc9e8c55337a.webp

Muhimu ni kujitahidi kujinasua kutoka hali ya uLDC na kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi
 
Mimi ni mswahili wa Daresalam mkuu,Kenya nilienda kama mtalii tu,mawazo na fikra za wanannchi na wakaazi wa sehemu ndio yanayoleta mandeleo ya sehemu husika...

Siwezi kuusifia Mji wa Daresalam wakati najua wakaazi wake bado hawana akili za maendeleo,wewe mwenyewe Mkuu jifikiri kwanini umeanza kunituhumu kuwa mimi ni Mkenya??

Mimi naona umenishutumu kuwa sio MTz kwasababu hoja zangu zina mshiko,hayo sio maendeleo wasawhili wanasema "kama huwezi kuwashinda ungana nao" ...nafikiri hamna mkenya na baadhi ya watazania wanaweza kuandika Kiswahili ninachoandika,

Niwie radhi mkuu😉
nishakujua muda tu endelea kujifanya nyoka wa kibisa walipita wengi sana watu kama wewe 😀😀😀
 
The fact that unauliza hilo swali linaonyesha you're ignorant. Kabisa hujui mipango ya maendeleo ya nchi yako? Unataka tukuletee hapa?
Niletee mkuu,kuliza sio kuwa niko "ignorant" labda hiyo mipango ni ya siri au hakuna sehemu ambayo wananchi wa kawaida kama mimi tunawezakuiona kirahisi

waswahili wanasema "Kuuliza sio ujinga",mjinga ni yule asiejibu kile anachoulizwa😉
 
Back
Top Bottom