Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imara Daima.....
6f24cbd292f4c399eea6e881aedc81b8.jpg
67668f4c6269a9957084ca521aa3d887.jpg
896e6f76b961632d7b3b10989490edcb.jpg
7aebe1747a91c9c65e265fcb3cbafa1f.jpg
73cd8d3263e5619ba4db1309ddc4f734.jpg
67350784cb4617b35b88d62b60a52f30.jpg
d8167f56e6090b1ec84189911cc6810d.jpg
Hii battle hawaezi ata wakaungana na kina Uganda na Rwanda against Nairobi
 
nijibu swali niliyokuuliza hzo picha ni wapi hapo??
leo nataka nikuoneshe hzo picha ni za wapi sasa nasubiria jibu ??? na usikimbie swali😀😀😀
Hahaa utapinga hadi picha za dar..haya tuletee aerial view ya dar 10km away from the cbd
 
Mzee baba mbona humu kuna raia wamepost hadi picha za mombasa, kwani hawajui kama ni Dar vs Nair
Na kwa taarifa yako hii ni KE Vs TZ hiyo Dar vs Nai ni kichwa cha habari tuu

Habari za miti na misitu ilikua ya Nbi/Dar pekee. Kejeli kuwa Nairobi ina misitu na inafaa ikatwe ndio sababu ya utata hapa. Ndio maana tukasisitiza kuwa bustani na miti mingi ya Nairobi ndio mwelekeo wa kisasa kote duniani. Na ndio bado tunapanda miti zaidi!
 
Ichboy every second uko kwa page ya citizen TV au ntv it's nice to know vile mnafuatilia news za Kenya....unfortunately hatujui zenyu
Ndiyo sababu tunawaita ninyi wajinga sana, hamjui lolote linaloendelea nje ya Kibera, ndiyo sababu hamuamini kama kuna nchi jirani yenu hakuna slums, hakuna njaa, hakuna corruption kwasababu mnachukulia maisha yenu ndiyo kipimo cha maisha ya binadamu wote.
 
If these are your dream Houses then mkae tu ligi yenyu
a6b8456592e6f82d94d5c18cfe2c80cd.jpg
20ed61ecc43f099c7955aa9641373247.jpg
Mbona hizo picha za flyovers na hayo magorofa unaleta horizontal photos, ila hizi unaleta aerial far above, unaficha nini, hizo picho ukiondoa hiyo moja, zingine zote sio Tanzania, unajaribu kutumia kila njia kujitoa katika aibu ya slums za Nairobi
 
Ndiyo sababu tunawaita ninyi wajinga sana, hamjui lolote linaloendelea nje ya Kibera, ndiyo sababu hamuamini kama kuna nchi jirani yenu hakuna slums, hakuna njaa, hakuna corruption kwasababu mnachukulia maisha yenu ndiyo kipimo cha maisha ya binadamu wote.
Hahaha ....in flocki's tone......
 
Nairobi partners with Rwanda to clean city

theeastafrican.coke

Jan 28, 2018 11:54 AM

Rwandan High Commissioner to Kenya James Kimonyo (centre) joins Rwandans living in Kenya during the 'Umugunda' general cleaning exercise in Gigiri, Nairobi on January 27, 2018. The Nairobi City County government has partnered with the Rwandan High Commission in an effort to improve cleanliness in the city. PHOTO | COLLINS OMULO | NATION MEDIA GROUP

Th
Mpaka mfundishwe usafi na wanyarwanda,aibu!
 
Sasa tufuatilie nini kwa LEAST DEVELOPED COUNTRIES?
 
Try to be serious sasa kwa taarifa yako hzo picha sio dar katafute sehemu ulipozitoa dar hakuna udongo mwekundu
Hahaa utapinga hadi picha za dar..haya tuletee aerial view ya dar 10km away from the cbd
 
Back
Top Bottom