Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninachoongea mimi ni:mbona iko wazi kipengele cha kwanza ----"Master Plan of the city" ambacho naona ni muhimu kuliko chochote kile kama . Master Plan of the city ni mbaya mji hauwezi kuwa mzuri
Master plan of the city ni document yenye set of directions namna gani tutaendeleza mji wetu.

Unachomaanisha ni implementation.. Now implementation ya master plan inachukua mpaka 30years to be implemented.

Last master plan ya dar ilikuwa 1977(if am not mistaken) na inayofuata bado IPO kwenye mchakato..

Ndani ya master plan tunaweka directions.. Tunataka mji wetu uweje. Lengo kuu ni mini?! Kwa mfano Master plan Mpya ina sema vitu kama financial district.. Commercial district... Development of open spaces like coco beach.. Better transportation corridor...

Uzuri Wa master plan ni qualities of townscape.. Landscape.. Buildings ..well defined roads. ..ukienda wizara ya Ardhi utaona hakuna michoro ya mipango miji isiyokuwa na maeneo ya wazi na michezo.

Kinachofuata ni kuitekeleza.. Unaposikia bomoabomoa ndio utekelezaji wake...it too 500yrs for Rome to.take shape.. Unalalamika ndio kwanza 30yrs..relax
 
Mkuu inabidi nikuache kwenye huu uzi,naona uko kisiasa zaid,poa mpemde huyu "Uncle" wako mimi sina matatizo kwa hilo,ningependa tujadiliane kwa hii hoja,sijui huyo "uncle"kama anajua hata unaishi vipi...
huu uzi umekushinda na utazidi kukukalia kushoto sisi tumeona maendeleo sana tu tena kwa speed kubwa na tunaomba magufuli abane vzr bado akaze kisawasawa tufike nchi hii haiendeshwi kwa mawazo yako😀😀

pole sana bro kama unaumia umia tu😛😛
 
uncle anajua sana tena tunataka akaze tu kama maendeleo huna imekula kwako sisi maendeleo tunayaona sana tu na tunamkubali kisawasawa 😀😀😀😀😀😀
 
kama wewe mwenyewe huna maendeleo huna dream usifkiri watu wote wako hvo ndio maana hua tunasema usiseme watu hawana pesa sema mm sina pesa

maendeleo yapo na tumeyaona na tunazidi kuyaona kama wewe huyaoni vaa miwani ya mbao😀😀😀😀
Maendeleo yangu makubwa sana mkuu,tena sana ukilinganisha na watanzania wengi...lakini nawahurumia watanzania kama wewe...umetekwa na wanasiasa..

Unafikiri kwa hisia sio kwa uhalisia,mimi nafikiri kwa uhalisia hisia zangu nimeziweka pembeni
 
Maendeleo yangu makubwa sana mkuu,tena sana ukilinganisha na watanzania wengi...lakini nawahurumia watanzania kama wewe...umetekwa na wanasiasa..

Unafikiri kwa hisia sio kwa uhalisia,mimi nafikiri kwa uhalisia hisia zangu nimesziweka pembeni
kama makubwa na sisi yakwetu makubwa sana na tunaona maendeleo sana tu na tunataka tuzidi zaidi ya hapa hatutaishia hapa tu tutakaza buti mwanzo mwisho

asante sana uncle magu nyoosha nchi😀😀😀
 
huu uzi umekushinda na utazidi kukukalia kushoto sisi tumeona maendeleo sana tu tena kwa speed kubwa na tunaomba magufuli abane vzr bado akaze kisawasawa tufike nchi hii haiendeshwi kwa mawazo yako😀😀

pole sana bro kama unaumia umia tu😛😛
hahahaaa nakunywa wine,nikiwa nakorosho,sio korosho za wamachinga ni roasted peanuts kutoka ughaibuni,maisha yangu yako poa sana...

sitomwacha manasiasa yoyote yule kuniweka kasumba katika akili yangu,"No one can manipulate me,"

Huu uzi nilifikiri kuhusu maendeleo wa mji wa daresalam kumbe hata hayo maendeleo ya mji inabidi tumsifu Uncle Magu,hahahaha

God bless Tanzania
 
hahahaaa nakunywa wine,nikiwa nakorosho,sio korosho za wamachinga ni roasted peanuts kutoka ughaibuni,maisha yangu yako poa sana...

nakini sitomwacha manasiasa yoyote yule kuniweka kasumba katika akili yangu,"No one can manipulate me,"

Huu uzi nilifikiri kuhusu maendeleo wa mji wa daresalam kumbe hata hayo maendeleo ya mji inabidi tumsifu Uncle Magu,hahahaha

God bless Tanzania
Mungu ibariki tanzania, Mungu mpe uwezo na afya uncle magu akaze yani anyooshe nchi inyooke kama mchele basmat😀😀😀😀

go go go tanzania
 
hahahaaa nakunywa wine,nikiwa nakorosho,sio korosho za wamachinga ni roasted peanuts kutoka ughaibuni,maisha yangu yako poa sana...

sitomwacha manasiasa yoyote yule kuniweka kasumba katika akili yangu,"No one can manipulate me,"

Huu uzi nilifikiri kuhusu maendeleo wa mji wa daresalam kumbe hata hayo maendeleo ya mji inabidi tumsifu Uncle Magu,hahahaha

God bless Tanzania
na tutamsifu sana kwa kaz kubwa anayoifanya mwenye haki apewe sifa yake😀😀😀😀😀😀

go go tanzania asante magu😛
 
Mungu ibariki tanzania, Mungu mpe uwezo na afya uncle magu akaze yani anyooshe nchi inyooke kama mchele basmat😀😀😀😀

go go go tanzania
Badilisha kilevi acha kunya gongo mkuu...naona kama umepagawa,naona kama huna hoja tena.....
usifanye mambo kwa weledi wa mtu,fanya mambo kwa manufaa yako na familia yako

maisha ni mafupi sana kukukubali kutapeliwa kimawazo,wakati anaekutapeli ki mawazo anaishi kama hatakufa,hana anachokikosa,,,,tafakari

siasa ni mchezo mchafu,niko ki maslahi zaidi...
 
nchi yoyote duniani iliopata maendeleo kwanza inaweka misingi thabiti ya amani na mapenzi miongoni ya wananchi na tanzania imejitahidi kufanya hilo na kuondoa ukabila.... hio ndio misingi ya awali ya maendeleo
 
Inamaana Wewe juhudi zote zinazofanyika nchini huoni au? Ivi ni kwamba watu mmelogwa ama vipi?
Uzi unazungumzia mji wa Daresalam mkuu,hizo juhudi nyengine zinazofanywa weka pembeni,,,,labda ziko lakini sio uzi huu,,,,
 
Badilisha kilevi acha kunya gongo mkuu...naona kama umepagawa,naona kama huna hoja tena.....
usifanye mambo kwa weledi wa mtu,fanya mambo kwa manufaa yako na familia yako

maisha ni mafupi sana kukukubali kutapeliwa kimawazo,wakati anaekutapeli ki mawazo anaishi kama hatakufa,hana anachokikosa,,,,tafakari

siasa ni mchezo mchafu,niko ki maslahi zaidi...
umia tu bro yani lia kabisa 😀😀😀😀😀

uncle magu bado tutakaza mwanzo mwisho hakuna kupoga dili au utapeli

uncle magu safi sana😛😛
 
umia tu bro yani lia kabisa 😀😀😀😀😀

uncle magu bado tutakaza mwanzo mwisho hakuna kupoga dili au utapeli

uncle magu safi sana😛😛
Hahaha umetoka kwenye mada umeingia kwenye siasa za kumsifu Magufuli,mungu ibariki Tanzania,zibariki fikra na mwazo ya mwenyekiti....😀😀😀
 
Uzi unazungumzia mji wa Daresalam mkuu,hizo juhudi nyengine zinazofanywa weka pembeni,,,,labda ziko lakini sio uzi huu,,,,
Angalia huu Uzi umeanzishwa lini, Ukijiongeza tena kidogo utaelewa kwamba ndani ya huu Uzi kuna nyuzi nyingine ndogo zimefunguliwa, hataivyo Karibia asilimia 99 ya Kila kitu kuhusu hii miji imeshazungumziwa, kwahiyo kipindi tunasubiri Jipya liongezeke ndo unakuta watu wanapashana habari za hapa na pale.
 
Sawa mkuu,lakini mimi nimejikita zaidi kwenye mazingira ya mji wetu wa Daresalam ukiifananisha na yale ya Nairobi...

sasa nambie mji wa Daresalam una maendeleo gani,mji hauna hata sehemu za wazi za kumpuzikia wakaazi wa daresalam,au kupeleka watoto kucheza
 
Lol! Street food za Nairobi ni Mandazi na Donati? Ndomaana hamna akili . Bongo land Street foods. So unique
Zanzibar.jpg
2312dec47c6e07e391624c77ff536ff3.jpg
1477538247481.jpg
sasa mjiandae na deni la phase 1 4b usd😀😀
View attachment 686723
nilipitia kwa mama Halima kidogo....
a869cf16d0ac172519830e6eb0ae805a.jpg
 
Back
Top Bottom