Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hizo picha za flyovers na hayo magorofa unaleta horizontal photos, ila hizi unaleta aerial far above, unaficha nini, hizo picho ukiondoa hiyo moja, zingine zote sio Tanzania, unajaribu kutumia kila njia kujitoa katika aibu ya slums za Nairobi
sindio nashangaa analeta picha sio za dar alaf anasema dar😀😀😀😀😀😀😀
 
Sasa wewe unatuletea beach properties to counter apartments found in middle income estates za Nairobi? Ungetuletea tu apartments ambazo ziko kwenye mitaa ambaye mwananchi wa kawaida wa kipato cha wastan anaweza afford kuishi vile zlivyofanya El Matador
Tanzania watu wanajenga wenyewe nyumba za ndoto zao , unatafuta ramani nzuri unayopenda mwenyewe unajenga house of your dream

Nairobi ni watu wachache wanawajengea maskini wakapange waishi kwenye nyumba zinafanana ambazo ni dormitories

Kumbuka any house that you share same build more than one family that is dormitory.

Nairobi mwanaume mzima na familia yake ame rent nyumba kwa landlord I can see the humiliation mnapitia

Mwanaume wa Nairobi anapigwa na mwanamke maana mostly hawana mawazo ya kujenga wanawaza kuama kutoka dormitory moja kwenda dormitory nyingine akiwa kafanikiwa kutoka kibera
 
Hapa unaleta horinzal views, very close ili tuone details, ila utapotaka kuonyesha kama Tanzania kuna slums unatuletea aerial view iliyopigwa kwa juu sana ili kuficha ukweli kwasababu unajua hakuna slums Tanzania

hahaha nitakuletea aeriel view ya imara Daima ...usijali
 
C4EDAD46-A6B1-4CED-A7BC-19E1A9F7C4D8.jpeg
 
baada ya kupekea vipigo vitakatifu sasa akakope pesa itoke from 60% to 80% debt to GDP ratio😀😀😀
njaa imemshinda anawaza kijenga ukuta
900CCE05-613A-4656-ABA5-BA5903FD3764.jpeg
 
Tanzania watu wanajenga wenyewe nyumba za ndoto zao , unatafuta ramani nzuri unayopenda mwenyewe unajenga house of your dream

Nairobi ni watu wachache wanawajengea maskini wakapange waishi kwenye nyumba zinafanana ambazo ni dormitories

Kumbuka any house that you share same build more than one family that is dormitory.

Nairobi mwanaume mzima na familia yake ame rent nyumba kwa landlord I can see the humiliation mnapitia

Mwanaume wa Nairobi anapigwa na mwanamke maana mostly hawana mawazo ya kujenga wanawaza kuama kutoka dormitory moja kwenda dormitory nyingine akiwa kafanikiwa kutoka kibera
Lol..................mmekosa picha mkaanza porojo
 
karibu sana tanzania dan kazungu, balozi mpya wa kenya nchini tanzania.

njoo ushuhudie tanzania mpya inavyojengwa kwa kasi chini jemedari wetu JPM.
84694c4bedc3c526bbc1279d2c5f7563.jpg
 
Daresalam mji usiokuwa na viwanja vya wazi vya kucheza watoto au kwa mapumziko ya wanaoishi mji huu,Daresalam ni mji wa mwisho duniani..,wale ambao wanaousifia mji wa Daresalam wanatakiwa watembee miji ya wenzetu wajionee...

Mji kuwa mzuri sio kuwa na majumba ya ghorofa makubwa tu,kuna mambo mengi ya msingi ya kuzingatia,mji hauna hata vyoo vya umma (Public toilets),kweli unaweza kuusifia mji kama huo...,nawakilisha
 
Back
Top Bottom