stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,289
- 39,453
and you arent wrong anyhow, one of those places considered hell livingNchi ya hovyo sana
View: https://x.com/Globalstats11/status/2070071032409694320?s=20
and you arent wrong anyhow, one of those places considered hell livingNchi ya hovyo sana
Itakua the first asset making loses since 80's 😂Two of Kenya's biggest assets in one picture. Nice.
Roho chafu concordile 101 atahara damu 😂😂
View attachment 3639964
Wakiwa kwao wanakubali ila wakija jf wanajitutumia kusifia lile pipa la gongo linaitwa talanta 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DbYUP8YCIXI/?igsh=ZXBnbGI3em83cnR1
Nyinyi mmepeleka timu kamili kwasababu ndiyo michuano ya hadhi ya timu zenu, cc huku Simba, Yanga na Azam wanatumia hiyo michuano kama pre season matches, na ndiyo mana unaona wanapanga vikosi dhaifu, Yanga ndo hata kujishughulisha na hiyo michuano imegoma kabisa. Kwenye football tuliwaacha majirani.Did you watch Gor Mahia game?.., walahi they had some tricky one touch passes like it was a World Cup game . Very impressive by K’ogalo !
sasa unamuelezea mtu hajui mpira kwanza kachezea 4 uko moroco na leo sjui ataokota 5Nyinyi mmepeleka timu kamili kwasababu ndiyo michuano ya hadhi ya timu zenu, cc huku Simba, Yanga na Azam wanatumia hiyo michuano kama pre season matches, na ndiyo mana unaona wanapanga vikosi dhaifu, Yanga ndo hata kujishughulisha na hiyo michuano imegoma kabisa. Kwenye football tuliwaacha majirani.
Stand yetu ya matatu hiyo Afcon 2027 tutakuwa tunapanda matatu hapo kwenda na kutoka uwanjani 😁reminds me last time namwambia mtu apa ni stage(stendi) akagoma kuamini 😂, hajawahi kuona pedestrian section panatumika kama stage
View attachment 3639133
Rwanda to Tanga
Malawi to Mtwara
imebaki port gan ingine Nicxie?
View: https://www.instagram.com/p/DbS00XBlYee/
Viwanja 3 vya mazoezi Arushabado 2 more stadiums, ukiona sasa cowsheds wanazojenga mikoani uko 😂😂😂😂😂
wapi hii?
![]()
Kwani alikuta hakuna jitihada? Na Bado zinaendelea kwenye Bandari zote TanzaniaHizi zote zilikuwa jitihada za awamu ya 5 chini ya magufuli, now zinazaa matunda ila CCM wakiongozwa na mzee Geza ulole wanadhani tumesahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa masuala ya maandalizi ya Afcon, specifically katika organization ya transport system Arusha inajiandaa vyema kuliko Nairobi. 😂😂😂Stand yetu ya matatu hiyo Afcon 2027 tutakuwa tunapanda matatu hapo kwenda na kutoka uwanjani 😁
Hebu tuone collection ya TRA Customs juu mko na digital systems
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/2082775885250256979?s=46
This one is really huge.wapi hii?
![]()
Hv kwnn sgr haijaenda Arusha aiseee?Kwa masuala ya maandalizi ya Afcon, specifically katika organization ya transport system Arusha inajiandaa vyema kuliko Nairobi. 😂😂😂
Nadahani kutakuwa na brt in mindArusha airport road sijui wataipiga 6 lanes .? 🙄 mana huu upande waoupanua ni mpana sana considering the fact that there’s an existing road of two lanes already. View attachment 3639287