IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,663
- 10,114
N!gga how tf you keep losing your train of thought! You seem to have the brain of a warthog.. yani tayari keshasahau mada ya mjadala tuliokuwa nayo? We were talking about everyday people (like chips vendors) being able to afford to build a house. For it to add up you must take out all expenses (that includes household). Ama kwani utalala njaa kwa sababu unajega?Itakosa kulipa karo? What’s wrong with you guys really?Ndo maana mnaambiwa hamjui biashara , Toka lini household expenses like shopping and the like zikawa part and parcel of businesss expenses ?
Hapo umewekewa miscellaneous expenses za 700 ambayo Iko inclusive na salary ya muuza chips baada ya zile gharama za kubwa kama stock purchase ( mafuta plus viazi), energy , kachumbari,
Hizo cost salaries huwezi kuweka fixed sababu street vendors hawalipwi mshahara ila wanajlipa kwa sahani zitazouzwa na inategemeana.
Wewe kwa hii 700 tsh ulitakiwa useme ni business costs zilizosahaulika ila sio kuleta personal expenses ambazo Zinatakiwa kuwa covered kwenye salaries.
62,000 ksh per month ni ndogo sana kwa tz ,
Yaan nyinyi bado sana kwenye business 500 tsh ni 25% ya price of plate huku cost associated zikiwa ni 75% of the sales price .
Mzee ukijadili kwa ajili tu ya kubishana ama kushinda, hatimaye utasahau mada asili.