stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,704
- 37,164
Wapumbavuu sana wanataka tuwape bure ama?jamamaa analalamika utadhan sisi ndo tumemwambia asilime
jamaaa yuko serious analalamika kabisa kama anasubiria kupewa bure 😂Wapumbavuu sana wanataka tuwape bure ama?
Versus hiii
Ya tz all buildings zimejengwa kwa blocks baadhi tu ndo bati zimechakaa ila Nairobi 90% zimejengwa na iron sheets zikiwa zimezingukwa na marundo ya uchafuView attachment 3639787View attachment 3639788View attachment 3639789View attachment 3639790View attachment 3639791View attachment 3639792View attachment 3639793View attachment 3639794View attachment 3639795View attachment 3639796View attachment 3639797
sasa si aongee vizuri tu 😂😂😂, anaongea kama analia bana
BTW ni vile tu hakuna namna ingine ya kuingia Nairobi ila ile airport ni Mbaya kichz 😂😂😂
90% of Dar is a slum munaishi kwa such environment.View attachment 3639846
Kunyan wote wa humu kwenye simu zao wana picha hii,jamaa hawana akili 😄
alafu ikawaje sasa nyie mkachukua world title ya slums90% of Dar is a slum munaishi kwa such environment.