Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha tuwaoneshe kwanini Kodi dar ni kubwa sana , Leo tunajadiri biashara ndogo ya chips inavyowafanya matajiri tz.
Chips kenya labda uwe tajiri huezi zikuta mtaani, kule mtaa umejaa mayai pasua, wote wana fya mbovu si unaona ata skrepa zao zilivokonda, zipo kama znaanguka mda wowote 😂

1785322389048.png
 
Shida yako unajiingizanga kwa mijadala sii yako alafu unaanza kulialia ukiitisha proof.
Teargass anamuongelesha Traveller D wewe unaingilia ni kama kakuongelesha.
A few posts ago, nimemjibu Traveller D kuhusu my knowledge of Tanzania vs his knowledge of Kenya, pia wewe unajiingiza kwenye mjadala na makasiriko yako.
Tulia bradhee, utauliwa na makumbo. 🤣 🤣 🤣
Screenshot 2026-07-29 134458~2.jpg

Ebu kuja utetee huu utoposoro wako , je hao ni watu sawa
 
But kupiga picha gorofa la 20 floor still under construction is where you draw the line?🤣🤣😂
Hata niki post leo, kesho utakuja tena uulize swali kama hili, so believe what you want. Nimeshawahi kupost nyumba za over 20 buildings last month ukaumia na ukaamua kubadilisha mjadala 😂😂😂.
 
Sio kwamba wanafunzi wanao fail competition ya chuo huku bongo huenda tu Kenya, wanafunzi hao wanaendaga pia uchina, India n.k. 😂😂😂

Kwa mfano kwa wanafunzi wanaotaka kusomea udaktari pale Mhimbili kama haujapata division 1.3 au 1.4 au 1.5 hauwezi pata udahili Muhimbili. 😂😂 hao huwa wanakimbilia kenya au nchi za huko ughaibuni kusoma udaktari.
Hawajui jinsi competition ilivyo tight. Wao wanadhani Watanzania wanakuja Kenya kusoma eti kwa sababu wanataka superior education. Entitled idiots 😂😂
 
Hata niki post leo, kesho utakuja tena uulize swali kama hili, so believe what you want. Nimeshawahi kupost nyumba za over 20 buildings last month ukaumia na ukaamua kubadilisha mjadala 😂😂😂.
Ulikuwa unapost nyumba za 7 floors, the highest floor you posted I think was 13😂😂
 
Why should I remember the name of those Universities. Na kwa taarifa yako sio tu Kenya, hata vyuo vya India na Malaysia huwa wanakuja kujibrand.
Kwa nini nianze kukariri majina ya vyuo vya Kenya. Vinanisaidia nini 🚮
So in short hakuna University ulikuja shule yenu kufanya marketing 🤣🤣😂.

Ni lini mtaacha uongo nyinyi?🤣🤣😂
 
Ni mimi ndio, mbona unaumia .? Hadi una save comments zangu 😂😂😂 hii ni wivu au ni roho mbaya.? Ukilala unaniota bila shaka. 😂😂😂
There's something called search engine and bookmarking, do you know how to use them?

You expected to lie to us alafu tuache kuobookmark?🤣🤣😂
 
Here's Traveller D saying that he was importing smartphones. Sasa leta hiyo pesa.

View attachment 3639130
Kumbe ni travelor Mimi nataka niliposema huwa nauza mbuzi kama mwenzako alivyoquote, Kumbe hata kiswahili kwenu shida🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo concordile na traveller ni watu sawa ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nincompoops
 
reminds me last time namwambia mtu apa ni stage(stendi) akagoma kuamini 😂, hajawahi kuona pedestrian section panatumika kama stage
1785322905796.png
 
Sio kwamba wanafunzi wanao fail competition ya chuo huku bongo huenda tu Kenya, wanafunzi hao wanaendaga pia uchina, India n.k. 😂😂😂

Kwa mfano kwa wanafunzi wanaotaka kusomea udaktari pale Mhimbili kama haujapata division 1.3 au 1.4 au 1.5 hauwezi pata udahili Muhimbili. 😂😂 hao huwa wanakimbilia kenya au nchi za huko ughaibuni kusoma udaktari.
Sasa wewe mwenye hata hiyo chip hukukanyaga, tukuweke wapi among the failures?😂😂

Ati wenye wamefail wanaenda Kenya, China and India. You want to tell us that Tanzanian education is so strong that failures are going to India, China and Kenya because they can't get a chance in any Tanzanian university?🤣🤣😂
 
There's something called search engine and bookmarking, do you know how to use them?

You expected to lie to us alafu tuache kuobookmark?🤣🤣😂
Tell me ukilala unaniota 😂😂. Nilishawahi kusema kuhusu kuuza mbuzi humu ndani last 3 - 4 years. Search na hiyo pia. 😂😂😂
 
Kumbe ni travelor Mimi nataka niliposema huwa nauza mbuzi kama mwenzako alivyoquote, Kumbe hata kiswahili kwenu shida🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo concordile na traveller ni watu sawa ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nincompoops
You are idiot. Unaingilia mijadalq sio zako. Wewe endelea kuomba mapicha WhatsApp.
 
Back
Top Bottom