Viwanja 3 vya mazoezi Arusha
View: https://www.instagram.com/reel/DbaodmqIfJl/?igsh=MTF3YTU4dWQ1NnIzdw==
..bullshit!!
..BILLION 70 zinaweza kujenga km 40 za barabara nzuri ya lami, wamekwenda kuweka kwenye mipira.
..Znz wana mpango wa kutumia TRILLION 1+ kwa ajili ya Afcon.
..Where will they get that money from?
..bila shaka watakuja kutunyonya Watanganyika.