stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,379
- 36,627
leo lazima wachezee 5, na tena senegal mpaka sasa hawajashinda 😂wanafungwa ngapi leo?
leo lazima wachezee 5, na tena senegal mpaka sasa hawajashinda 😂wanafungwa ngapi leo?
Hebu tuone collection ya TRA Customs juu mko na digital systemsSasa watu wana Tumia Excel kwenye kukusanya Kodi na huko customs wata capture vipi kila kitu? Walivyo hovyo hawawezi kurekodi kila kitu. Na ndio maana kunakuwa na shida sana kwenye biashara ukanda huu sababu ya system zao za kipuuzi.
Hebu tuone collection ya TRA Customs juu mko na digital systems
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/2082775885250256979?s=46
Yule jamaa msimguse tena 😂 it will only take 2 minutes for Naislum to turn COAL
View: https://www.instagram.com/p/DbYs-eeOxnK/
ni maskini lakini wanachezea alshabab kinoma, wale jamaa mda wowote wanateswa kuna mbunge flan nairobi akiguswa tu kule lazima wakipateMandera si ndio ile County masikini kule Northern Kenya
Nchi ya hovyo sanani maskini lakini wanachezea alshabab kinoma, wale jamaa mda wowote wanateswa kuna mbunge flan nairobi akiguswa tu kule lazima wakipate
Gated communities ni choice, hata sio requirement ya sehemu kuwa good neighborhoodSomewhere in Syokimau.
Coneheads Traxtion na concordile 101 watadhani hii ni AI.
I'm still waiting to see a single gated community in Dar vumbi.
View attachment 3639947
wapi hii?Dar es Salaam 🇹🇿
View attachment 3639921View attachment 3639922View attachment 3639923View attachment 3639924View attachment 3639925View attachment 3639926View attachment 3639927View attachment 3639928View attachment 3639929View attachment 3639930View attachment 3639931View attachment 3639932View attachment 3639933View attachment 3639934
I think ni EACLCwapi hii?
![]()