View attachment 3639235
Huwa tunaenda kwa evidence , njia nzuri ya kuwa competent ni kukubali kujifunza .
Hapo nimekuwekea minimum plates mtu wa highway anaweza kuuza kwa siku na ni hesabu ya gunia moja tu na hapa nimekuongezea kuwa kuna wengine wanauza mpaka gunia 10 per day na hata zaidi.
Kuhusu kumenya na kukata viazi inabidi mjifunze sana, sasa hivi kuna mashine ambayo inaosha , inamenya na nyingine kukata kabisa viazi.
Happ umewekewa hesabu ya mtu mmoja mwenye maximum sales ya 150 plates , ambaye ana capacity ya kufikisha 62,000ksh per month hatujafika kwa yule 10 sacks per day
Na umeambiwa kabisa kuwa sales prices au totally daily sales itakuwa 300,000 tsh / 15,000 na profit ya not less than 50,000 tsh / 2500 ksh.
Unashangaa hao wachips vipi
View: https://vt.tiktok.com/ZS4NJt2Ax/
Nae hawez Jenga ghorofa au nae si street vendor