Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

downloadfile-124.png
downloadfile-133.png
downloadfile-158.png
binadamu tumeumbwa kusahau,ngoja tujikumbushe kidogo
 
Hio picha ya chini ni kweli au AI

I don't know lakini unaweza kuta haya ndio majani standard kwa sasa hivi ila wenzetu wanaona kama kitu cha kipekee sana.
Jamaa ni washamba,dunia ya leo wamekaa wakiamini kabisa kitu kinachofanyika kwao hakiwezi kufanyika kwingine,hizi project zote ziko chini ya mchina,jamaa elimu yao ina shida sehemu ni vile tu wamewin kuconvince watu elimu iko poa,in contrary ni empty head,ukikaa nao ndio utawajua
 
Nilichogundua hawa jamaa wanaongelea vitu vilivyo kwenye makaratasi lkn hawana habari kama utekelezaji wake haufiki hata 40%. Maeneo mengi talanta inaonekana ni jua kali kuanzia muonekano wake mpaka ndani, ni tofauti na walivyoahidiwa, ukikuta mkenya ana brag about talanta ujue hana habari au anajua lkn anafanya kusudi.
1. Talanta has exterior media facade (that's a fact). Samia doesn't

2. Talanta has a computerized hydraulic cable roof-lifting system ( that's a fact). Samia doesn't and no other stadium in Africa does.

3. Talanta has 52 luxury skyboxes ( that's a fact). Samia doesn't

4. Talanta has a hybrid pitch (that's a fact). Samia doesn't.

5. Talanta has LED ribbons across the stadium tiers ( another fact). Samia doesn't.

6. Talanta has integrated green energy solutions (that's a fact). Samia doesn't.

7. Talanta provides viewing intimacy ( that's another fact). Samia doesn't

Now tell us ni zipi hizo ziko kwenye makaratasi, ukishamaliza utuambie pia the modernity aspects za Samia
 
I am giving you facts. Ni wewe uko na blind patriotism. Nikuuliza unitajie feature moja yenye Arusha stadium iko nayo inayoifanya iwe more modern than Talanta hutoniambia. Mimi ukiniuliza features zinazoifanya Talanta iwe modern kuliko Samia nitakwambia. Kwa hivo kati yangu nawewe nani ana blind patriotism.
Skyboxes za Arusha zinaona uwanja wote unlike hizo za Talanta
 
Back
Top Bottom