NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,154
- 19,429
Kwa hivo hizo zenu zishaakuwa approved? 🤣 🤣 Boss, kidogo nitaacha kukuengage maanake nilidhani wewe ni mtu unajielewa lakini naona kama uko ovyo sana.Dah kaka mbn unaleta masihara kwenye mambo serious aisee, nazungumzia caf approved stadia sizungumzii hizo viwanja za counties mnazojenga sasa, hizo nyinyi mnajenga sasa huku kwetu vilijengwa enzi za Nyerere kaka, kila mkoa una kiwanja ambavyo vinaitwa CCM.