Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rafiki angu ananiuliza hapa kama unaingiaga period.? 🤣🤣🤣 uko period.?
1783597620170.jpeg
 
talanta doesnt have hybrid grass kwan we fala hujaona kabisa uwanja una vipara kila kona
Hiyo hybrid imeandikwa kwenye karatasi ndo wanatembea humo, kila wanachosema wana refer makaratasi na sio uhalisia, kabla haijajengwa talanta hata mm niliamini ungekuwa world class stadium, zen baadae wakabadili design, baada ya kuuona huu nikasema jirani kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom