Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu mradi kwetu hauna faida kama tutatoa protections zote hizo na kuleta a monopoly kwenye oil market
So vile mlikuwa mnaitaka hamkujua haitakuwa na faida kwenu? Acha nilete receipts on how you chest thumping on how Dangote will chose Tanga over Mombasa and Lamu.
 
Wueh! Kuna watu ambao walikaribu ku copy hii port bila plan.. walidhani ni guess work

View: https://youtu.be/y10hkj-0xwA?si=-0oaCcctxYZJFsaW

MY TAKE
sequential is what Magufuli from Usukumani couldn't grasp! u build a port first then railway or both parallel! Upumbavu wa watu wanatetea JPm humu ndani! Wakati kakataa $11 bln project Ukunduni wameenda ku-lobby na kusaini mikataba ya kipumbavu il ku-frustrate chances of Tanzania! Hii maneno isingekuwepo leo kama angetumia hekima na ku-negotiate na Wachina wa Bagamoy port!
 
relax mzee, you are yet to see many, unaiona konza city?
 
Apana Ni real estates za wadosi 🤣
sku izi mtu kajenga nyumba yake saf ambayo sio vertical inaitwa slum 😂 Btw iko wap apa
1783624193702.png
 
MY TAKE
sequential is what Magufuli from Usukumani couldn't grasp! u build a port first then railway or both parallel! Upumbavu wa watu wanatetea JPm humu ndani! Wakati kakataa $11 bln project Ukunduni wameenda ku-lobby na kusaini mikataba ya kipumbavu il ku-frustrate chances of Tanzania! Hii maneno isingekuwepo leo kama angetumia hekima na ku-negotiate na Wachina wa Bagamoy port!
mzee tulia 😂😂 ulitaka na sisi tukubali huu upumbavu ilimradi tuonekane tumepata project 😂
1783624326144.png
 
Back
Top Bottom