NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,169
- 19,452
How old are you?Mm sijakataa talanta ni uwanja mzr ila concern yng ni design ya kizamani, nchi nyingi za Africa zina viwanja vya design hiyo, modern stadia siku hz zinajengwa kama unavyoona Arusha stadium, hiyo iko wazi. Nafikiri sasa tuachane na hii debate tuendelee na mambo mengine.