Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://x.com/ChineseEmbTZ/status/2075128857246462057

MY TAKE
I'll keep telling people Magufuli's decision to stop $11 bln Lamu port construction will haunt us for so many years to come! Nashindwa kuelewa kwann alishindwa ku-negotiate? Katiba yetu ina matatizo inatengeneza imperial president!

mambo ya mikataba ni siri and you can never judge it because of your view, example SGR kenya is 100% owned by chineese, kq ndo usiseme BTW we are socialists, everyone anatakiwa kufaidika
 
Other than your God-given raw minerals, you export nothing else. (90%+ of your exports in usd are minerals).
Kenya has no minerals to export, na bado tunawakimbiza. Bongolala nyinyi.
99% of our exports are things we have produced or made.
So you import what you can't produce, right? seems like you can't produce a lot regarding the population range between we and you!
 
Sina uelewa wa modernity wakati wewe uelewa wako wa stadium modernity unaanzia na kuishia kwenye exterior design! Una mambo kweli wewe
sasa wewe unajua nn 😂 😂 hii ndo ulikua unaita skybox na tulitumia sku nzima kukufundisha na stiki juu
1783594180992.png
 
talanta haina hybrid grass, seeds were used through out and infact it has even been replanted again
Nilichogundua hawa jamaa wanaongelea vitu vilivyo kwenye makaratasi lkn hawana habari kama utekelezaji wake haufiki hata 40%. Maeneo mengi talanta inaonekana ni jua kali kuanzia muonekano wake mpaka ndani, ni tofauti na walivyoahidiwa, ukikuta mkenya ana brag about talanta ujue hana habari au anajua lkn anafanya kusudi.
 
Nilichogundua hawa jamaa wanaongelea vitu vilivyo kwenye makaratasi lkn hawana habari kama utekelezaji wake haufiki hata 40%. Maeneo mengi talanta inaonekana ni jua kali kuanzia muonekano wake mpaka ndani, ni tofauti na walivyoahidiwa, ukikuta mkenya ana brag about talanta ujue hana habari au anajua lkn anafanya kusudi.
Uzuri hakuna stadium inaezafikia Talanta Stadium in East Africa.
 
Sina uelewa wa modernity wakati wewe uelewa wako wa stadium modernity unaanzia na kuishia kwenye exterior design! Una mambo kweli wewe
kwahio kwa ada yote uliolipiwa 😂 talanta ni modern stadium sio 😂😂😂😂😂😂😂
 
Let's start with OT. First, yes, OT is a modern stadium.

Talanta might or might not come close to OT depending on how you look at it. And yes, Talanta iko na facility inashinda nayo Old Trafford japo ni moja. Old Trafford doesn't have a computerized hydraulic tension cable roof- lifting system, kitu Talanta stadium iko nayo. Wewe nitajie kitu Samia stadium inazidi nayo OT hapa tuone kama utapata.
who told you old trafford ni modern stadium? and toka hio cowshed ya ngong imerushiwa zege ushawahi kuona anywhere in Afrika wanaishobokea? you think its by mistake amna anaeishobokea?
 
Ndugu yangu tukianza kuongelea modern features ndani ya Talanta sijui wenzetu watasema nini. Kuna mmoja kaleta screenshot hapo juu that clearly states Samia stadium has natural grass🤣🤣
Ndani ya Talanta we are installing a hybrid system. So tukiamua kutumia hicho kigezo tu, ni kiwanja gani tutasema ni modern?
talanta doesnt have hybrid grass kwan we fala hujaona kabisa uwanja una vipara kila kona
 
Back
Top Bottom