kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,821
- 3,176
So unataka kumaanisha, probox ukitoa body yake, u modify it uweke ya range Rover Sasa yafaa iitwe modern ,,???CCM mindset 🤣🤣Ukiweka car charger mpya, ukafunga mziki mkali, akavesha seat covers za leather mpya kalii ndani ya probox, havibadilishi aina ya gari mzee, inaendelea kuwa ni probox ile ile tu. 😂😂😂