Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndege mmiliki wake ni nani?
Kenya airways owns it, was leased to turkey.
1000022423.jpg
 
Wapi nmesema tulijenga zamani? Tz ina Mkapa stadium ambayo kabla ndiyo ilikuwa most modern stadium kwa East and Central Africa, baadae Rwanda nao waka renovate uwanja wao ambao ndiyo unafanana na talanta.
Bongolala mnaweza wakana hadi mama zenu.

Watu washaachana na maviwanja ya hv kaka, sijakashifu ila huo ndiyo ukweli, hz design za kizamani kwa sasa.
 
Kwasabu hebu angalia Kenya ina uwanja mpya mmoja na Afcon itachezwa mji mmoja tu, Tz ina viwanja vipya vi3 (Arusha, Fumba na Dodoma), Afcon itachezwa miji mitatu tofauti (Dar, Arusha na Zanzibar)
NairobiWalker huoni kama mmeachwa mbali sanaa kwa suala la football infrastructures?
Kenya is building a stadium in every county. What's your point?
 
Back
Top Bottom