Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 664
- 1,086
Kwnn tunapenda kubishana vitu vipo wazi kabisa? Kwenye ukweli tusiweke utaifa tuseme iliyo kweli. Mm Kenya ikifanya vzr nasema na Tz ikifanya vby pia nasema, kwenye suala la uwanja Tz imeiacha Kenya mbali sanaa, huo ndiyo ukweli.