Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,263
- 18,080
Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.
Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂Arusha stadium ndiyo viwanja vya kisasa vipo hivyo mkuu, samahani lkn kama nimekukwaza.
Uwanja wa Mercedes ni kama wa Arusha design ile ileUkitoa roof, huu uwanja design yake kama Arusha stadium
View attachment 3624336
Naona panya wote mmetoka kwenye mashimo.Come on Bro… nothing farther from the truth … do you know even realize yours ni mabati ya kawaida?…‼️
Hakuna pa kujitetea mzee, kama uwanja usio na running track unajengwa Fumba, kwahiyo kuhusu viwanja kubalini tu Tz imewapita mbali sanaa kaka.Wait till they finish the Jaguars stadium in Florida… now that will be so futuristic… currently under construction…
But I hope you notice just like Talanta , none of American stadiums have a running track..🤪🤪
Sawa kama hii inakupa relief 😮💨Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂View attachment 3624803
Kwani Mbona mnajistukia, sijasema kenya MimiStop the desperation. Waghana warakuua bure View attachment 3624736
That is like saying what if we remodernize Dar to be like New York in an argument where you're trying to claim that Dar is as developed as New York. What a dumb thing to say. 🤣 🤣 🤣Question,
What if we decide to re-modernize Benjamin Mkapa Stadium? The running tracks we add another 20k seats, then we re-do the exteriors and the roofing?
What capacity will it be ?
Remember, Currently Ben Mkapa is the most modern and the Largest Stadium in East and Central Africa with 65K sitting capacity,
Plus Tanzania is building modern stadia in Zanzibar, Arusha and Dodoma Simultaneously, Just for Afcon 2027.
Hapo ni juu ya lower deck, vipi mabati isn't the case anymore?Viwanja vya kisasa ambazo screen hangs a few inches from the ground? 😂😂😂View attachment 3624803
😂😂😂 lazima uumie hadi unye. Hakuna bati la kawaida katika uwanja wa Arusha budaa.Come on Bro… nothing farther from the truth … do you know even realize yours ni mabati ya kawaida?…‼️
Who said New York,That is like saying what if we remodernize Dar to be like New York in an argument where you're trying to claim that Dar is as developed as New York. What a dumb thing to say. 🤣 🤣 🤣
But Kasarani is better than Makwapa. That's why it was chosen for CHAN finals and Makwapa.Who said New York,
Benjamin Mkapa remains the Largest and modern stadium in East and Central Africa pamoja na kuwa umejengwa 20 years ago. Uwanja umejengwa miaka 20 iliyopita na bado ndio uwanja bora zaidi kwenye ukanda wa Africa mashariki.
Na kufanya maboresho tunaweka tu urembo wa nje na kubadilisha roof na kuongeza sitting capacity, nothing changes on the structure)
The Chan that Kenya mlifunga Morocco national team iliyo qualify Quarter Finals World Cup 2026 hahaBut Kasarani is better than Makwapa. That's why it was chosen for CHAN finals and Makwapa.
Ni proposal bado
View attachment 3624626