Ile Karai haiwezi pata approval sababu ya poor amenities, pamoja na kuwa na pitch mbovu sana isiyotengenezeka, kasirani umejengwa kizamani, kwa hiyo ni kipengele kupata approval ya kwa AFCON. Caf hawaangalii pitch pekee,
Kuna possibility kubwa sana Michezo mingi itachezwa Tanzania na Uganda , na kenya akabaki msindikizaji sababu ana uwanja mmoja,
Ule uwanja wa Atalanta wangejenga viwanja viwili mid-size Pengine mmoja nairobi na mwingine Mombasa,
Shida tangu lini watu waliotawaliwa na wakikuyu na kalenjini pekee tangu uhuru wakes na akili .