Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

katika kipindi tanzania inaflourish kiuchumi basi ndo mda huu, as we speak tanzania earns the most money in the region from exports, crazy money inaenda $26B in my last checks, The port is over full as we speak na miradi yote iliobaki inamaliziwa, Sasa inategemea na wewe level yako pia ya uchumi iko vp, because of you were expecting labda wawekezaji wajae bongo kama kenya, hicho kitu hakiwezekani, na hakuna atakaekuja kukikubali,

This is only applicable to kenya kama unataka investors wajae alafu nyie wengine mkakae kwenye slums ila kwa bongo hicho kitu hakipo na hakitakuja kuwepo, Utawekeza tu sehem ambapo kwel serikali itakua bado haijafika uwezo huo na pia hakuna private investor wa bongo anaweza kuihandle hio issue, other than that, dont expect non ending list of investors because they arent helpfull as you think, we call them investors but they are just business men and all they care at the end is maximum profits
Hapa Nipo kijiji Fulani maeneo ya Chunya, hali nayoiona huku, and then this is 2026,
And then anatokea mtu anasema nchi ina flourish, you sound like a clown.
Nchi nzima ya watu milioni 70 mna export $26b halafu you think that’s something really, and what exactly are you exporting to the world, korosho? 😂
Kuna wakati waziri mmoja kilaza akasema nchi za Magharibi zinaionea wivu Tanzania , with overall export of $26b, yaani nchi kama Marekani yenye mji mmoja tu wa Jersey unashinda miji yote ya Africa ionee wivu sisi ?
By the way, mkuu umewahi hata kusafiri nchi za watu wenye akili ? Unaona are you anywhere near nchi yenye watu wenye akili ?
And yes, our leaders are a bunch of incompetent clowns.
 
Saivi naona wameanza kuzirudia lami barabara za posta. Look at this one. 👇🏾
IMG_7073.jpeg
IMG_7067.jpeg
IMG_7060.jpeg
 
Back
Top Bottom