stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,397
- 36,753
Swali ndio hili hapa.Swali gn kaka
Tuonyeshe moja Kama hiyo yenye mlijenga Zamani.
Huo ni mfano nimekupea ndio uone jinsi analogy yako ilivyo ya kijinga.Who said New York,
Benjamin Mkapa remains the Largest and modern stadium in East and Central Africa pamoja na kuwa umejengwa 20 years ago. Uwanja umejengwa miaka 20 iliyopita na bado ndio uwanja bora zaidi kwenye ukanda wa Africa mashariki.
Na kufanya maboresho tunaweka tu urembo wa nje na kubadilisha roof na kuongeza sitting capacity, nothing changes on the structure)
Dangote knows he can raise any amount of seed capital by floating shares in Kenya…No other country in the region can he pull that…Mombasa has no land for that size of refinery.
Having shares in EACOP will make Dangote to change his mind and build the refinery in Tanzania?😂😂😂.
Who told you Dangote is targeting Uganda only?😂
Wapi nmesema tulijenga zamani? Tz ina Mkapa stadium ambayo kabla ndiyo ilikuwa most modern stadium kwa East and Central Africa, baadae Rwanda nao waka renovate uwanja wao ambao ndiyo unafanana na talanta.Swali ndio hili hapa.
🤣🤣🤣Mbona sky boxes zimejifichaDaily Dose
![]()
Kaka talanta sio modern ila ni new stadium, viwanja vingi vya ki Africa vipo hivyo, modern stadium ziko mfano wa Arusha stadium.Huo ni mfano nimekupea ndio uone jinsi analogy yako ilivyo ya kijinga.
Yani ukisema What if we decide to re-modernize Benjamin Mkapa Stadium? The running tracks we add another 20k seats, then we re-do the exteriors and the roofing? ushaakubali uwanja sio modern maanake uwanja wowote unaweza ukawa modernized na capacity ikaongezwa.
Kwa akili yako ya kitumwa unamaanisha mzungu anaaklili kuliko mwaafrica, so sad indeed. It will take ages kuwaondoa utumwani.Kati ya wewe na mzungu Nani Anajua zaidi ?… ( Bongolala old school response..)… so back at ya!…🤣🤣🤣🤣